Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,818
Rais Kikwete (kushoto), akisakata rhumba na Bi. Kidude, huku mkewe mama Salma (kulia), akiwasaidia.
Bi Kidude hapo haangalii makunyanzi, muziki mbele kwa mbele!.sasa hapo bi kidude kafumba au kafumbua macho?
Kikwete bana, kwa burudani humtoi, lakini hafanyi jitihada zozote kuhakikisha haki za Wasanii zinalidwa, anasema anapenda sana Bongoflava, lakini hasikii kilio chao cha ukosefu wa studio, wizi wa kazi zao, haitoshi kusakata Rumbah na kuwaacha masikini, JK uliwaambia uwongo wakati wa kampeni , na ulitoa ahadi lukuki dhidi yao.....

but uncle nilimwona rc akitumbuiza,ze wei she dressed for me mmmmmmmmmmmmmh,SIKUPENDA
exactly, hata mie sikupenda mbele ya presidaa namna ile mmmh, au ndo kibiashara zaidi ilikuwa?
Exactly, hata mie sikupenda mbele ya presidaa namna ile mmmh, au ndo kibiashara zaidi ilikuwa?
HUO NI USANII juu ya wasanii, maana kampeni zinaanza, JK anawahitaji sana kwenye kampeni zake, anaanza kuwaongopea tena, na kwa umasikini wao wakukumbuka mambo wameisha sahau kuwa miaka minne iliopita aliwaahidi mambo lukuki pale IKULu Leo anaibuka na blah blah hizo.....nasikia eti serikali ina mpango wa kuleta mashine za kudurufu cd na tapes, pia kufungua studio kubwa yenye kutumia mfumo wa digital.
ila nasikia ruge ndiyo ameshamegewa pande la usimamizi wa mradi huo.
kazi kwelikweli.
but uncle nilimwona rc akitumbuiza,ze wei she dressed for me mmmmmmmmmmmmmh,SIKUPENDA
mbona alikuwa poa tu - mtoto kiuno bana!