Taswira ya Jina Daudi limechafuka kweli?

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
517
527
Aisee hili jina hata wazazi kuwaita Watoto wao imepungua sana mimi hata nikutane na mtu Anaitwa Daudi nakuwa sina imani nae, Ni kama Jaydee alivokuja kuchafua jina la Yahaya
Kuna jamaa angu anaitwa Daud Albert hahaha Ndio simuamini kabisaaa
 
Yahaya unaishi wapi?
 
Back
Top Bottom