TASWIRA; Maandamano Mkwawa na Mbunge P. Msigwa, Iringa Mjini!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
akizungumza na wanachuo hao.


Mh. msigwa akizungumza na wanachuo hao.




WANAFUNZI HAO WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA, WALIWASILI OFINI KWA MH. MSIGWA MAJIRA YA SAA NANE MCHANA. MAANDAMANO HAYA YALIMTAKA MH. MSIGWA KUWEZA KUWAPA UHAKIKA WA PESA ZAO ZA MKOPO. BAADA YA MSIGWA KUONGEA NAO WALIWEZA KUKUBALIANA KUREJEA CHUONI, KWAKUPATA UHAKIKA KUWA FEDHA ZAO ZIMESHA INGIZWA KILICHOBAKI NIKUANZA KUZIWAKE KWENYE AKAUNTI ZAO.
 
angewaachia hao hao magamba bse hata wakati wa uchaguzi vyuo hufungwa which means hawa watu wengi hukosa kupiga kura.
Yule mama RC yaani huwa nashindwa kumtofautisha na Hawa Fujo wa TAMISEMI kwa sasa.
Naona kama hawako serious na wanabebwa na mfumo uliopo.
 
Back
Top Bottom