DECEMBER9 mwaka huu tutasherehekea miaka 50 ya UHURU! subirini muone hizo mbwembwe na majigambo ya CHAMA TAWALA kwamba tumepiga hatua kubwa kimaendeleo!
Yaani wimbo ni UTULIVU NA AMANI kila kukicha!
WE NEED MABADILIKO SASA!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.