Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,627
- 154,985
hii tai ni imported from ludewahicho kitambaa cha tai ungeshoneshea suruali kinatosha kabisa.
Sent from my blackberry 9700 using jamiiforums
usirudie tena kusema ngiri maji wala busha, sema rasilimali ya hazina iliyofichikaziko namna nyingi za kuficha ile kitu inaitwa ngiri maji, hii yako nimeipenda!
ahsante mwinyi kwa kuniongezea misamiati!usirudie tena kusema ngiri maji wala busha, sema rasilimali ya hazina iliyofichika
Hapo umemdunda Boflo by TKO.......WALAHI hawezi kujibu mapigo
tatizo siku hizi kuna makongosho yanatengenezwa kwa arovella, yale hata yakitengenezwa katika size inayofaa, njiani yanaongezeka sizeMmmh, hilo litakuwa bandama
Kongosho lazima lije kwa sizeinayofaa