TARURA sasa tunasubiria barabara zetu zisozokuwa na makorongo kwa kuwa mwezi January kwenu ni kicheko tu

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
490
763
TARURA wananchi wanasubiria kwa hamu sana barabara nzuri maana mwezi January mmethaminiwa sana.

Na taasisi nyingine muendelee kupiga kazi kwa kuwa tunaenda kwa zamu zamu.

Sasa sijajua kuongezewa mishahara kwa watumishi wa TARURA ina maana gani? Hivi sasa barabara za mitaa mbovu sana hasa huko mikoani halafu wanaongezewa mishahara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barabara

Barabara zinajengwa kwa mshahara?
 
Una chuki binafsi?
 
Back
Top Bottom