TARURA na REA: Miradi yao yote hawaweki mabango ya ERB -- nani wa kuwasemea?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
4,244
2,000
Taasisi nilizozitaja hapo juu, zimekuwa zikifanya kazi vijiji . Miradi Yao haimaliziki, ikimalizika ni miradi ya ajabu. Unakuta mradu wa REA nguzo zimelazwa chini miaka miwili na haijulikani wanafunga Umeme lini.

Cha ajabu mradi wenyewe wananchi hawajui mradi ni dhamani Gani na ubora wa vifaa vyake mfano transformers ni ndogo sana wanazizowekwa.

Swali: Hawa REA wanawajibika kwa nani? Au ni Kwa waziri wa nishati tu? Je, kwanini wanafanya ujenzi hawaweki vibao vya board ya ukandarasi ERB? Kwenye eneo la mradi?

Pili, TARURA. Hawa barabara zinajengwa vipande vipande, kwa kiwango cha chini na kulipwa mamilioni ya shilingi. Nani anasimamia miradi ya TARURA? Kwa sababu mtoa fedha za ujenzi ni TARURA. Pia miradi yote ya TARURA hakuna vibao au mabango ya ERB, board ya uhandisi Hawa hawahusiki na ERB? Ñinakushauri serikali ifuatilie kwa ukaribu taasisi hizi mbili, tunakoelekea siko
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,403
2,000
Wananchi hawajui ni mradi Gani na fedha zinatoka wapi. MWISHO wa siku wananchi wanalaumu serikali Kwa kutoona kilichofanyika.
Wananchi gani wanaolaumu? Labda wa huko kwenu endeleeni kulaumu sisi kwetu tunaona na hatulaumu.unalaumu isichokiona wala kukijua haaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom