TARURA Mwanza; majaribio ya mfumo wa parking imetawaliwa na dhuluma na rushwa

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,021
2,253
Wadau,
Mfumo wa kulipia parking jijini Mwanza unaoratibiwa na TARURA imejaa dhuluma tupu. Issue iko hivi; ukingia jijini Mwanza ukapaki gari lako sehemu wanapita watu/agents wa TARURA fasta na kupiga picha gari lako kimya kimya bila kumtafuta mwenye gari wanatuma TARURA. Wewe unakuja hujui kinachoendelea unawasha gari na kuondoka. Kumbe unatakiwa ulipie tzs 1,500 kupitia mitandao ya simu. Ikipita siku moja tu fain ya TZS 40,000 inakuhusu. Juzi tu nilitoka kulipia tzs 80,000/=
 
Hizi kampuni za parking zinamilikiwa na wahuni tu,mwanza wao wanasubiri upaki ukirudi unawakuta wanapiga picha hku wamefunga chain,yani uhuni wa kipumbavu kabisa
 
Wadau,
Mfumo wa kulipia parking jijini Mwanza unaoratibiwa na TARURA imejaa dhuluma tupu. Issue iko hivi; ukingia jijini Mwanza ukapaki gari lako sehemu wanapita watu/agents wa TARURA fasta na kupiga picha gari lako kimya kimya bila kumtafuta mwenye gari wanatuma TARURA. Wewe unakuja hujui kinachoendelea unawasha gari na kuondoka. Kumbe unatakiwa ulipie tzs 1,500 kupitia mitandao ya simu. Ikipita siku moja tu fain ya TZS 40,000 inakuhusu. Juzi tu nilitoka kulipia tzs 80,000/=
Mkuu bado wanaendelea na hiyo michezo yao?
 
Hii ni Rushwa na Dhuluma kabisa. Tangu 2018 TARURA PMU wamekuwa wakiwapendelea Kampuni ya NPK kwa kuwapa tenda ya makusanyo ya parking Jijini Mwanza Kwa maslahi yao Binafsi.Mfumo wenyewe umeonekana Kufeli kwa asilimia kubwa. Sisi wakusanya mapato wengine mnatuumiza kwakuwa na sisi pia tunahitaji kufanya kazi. Nani aliyewaambia kuwa hatuna uwezo wa kutumia mfumo Kielectronic kukusanya hayo mapato??? Hamtangazi Zabuni, mnafanya Shortlisting tu Kwa NPK always. Hii Si Haki. Hata kama mna njaa, lakini isiwe kwa kiasi Hiki.
 
Back
Top Bottom