TARURA Mwanza, Daraja la Mwasonge lilikabidhiwa kwenu na mkaridhika?

twende wote

Member
Mar 29, 2021
50
84
Nimebahatika kupita barabara moja inatoka buhongwa Kuna daraja nimeuliza linaitwa MWASONGE, bridge.

Swali langu ni je Hilo daraja lilikabidhiwa kwa TARURA? Thamani ya pesa iliyotumika iko sahihi? Jamani kuweni na huruma na Kodi za wananchi, daraja mvua ikinyesha inayonyesha ya maana hakuna daraja hapo.

Meneja TARURA au tanroads angalia value for money ya watanzania
 
Moja ya ujenzi wa ovyo sana ule mkuu ni aibu, daraja haliwezi kupitisha hata roli kubwa...finyu na la hovyo kwa pesa za umma
 
Back
Top Bottom