TARURA Kiteto yapanga kukusanya Tsh 300 kila siku kwa bodaboda inayopaki pembezoni mwa barabara

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,966
3,189
Kwema ndugu zangu.

Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara.

1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.
 
Kwema ndugu zangu....juzi walikuja tarura kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(3,00/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa bara bara.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo CCM mzee tulieni iwatafune, bado kodi ya miguu
 
Kwema ndugu zangu....juzi walikuja tarura kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(3,00/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa bara bara.
1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Bumper 2 bumper mwendo wa tozo mpaka 2025

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Yule mzee baba hakuwaga hivi lakini..anyway hao bodaboda walipungiziwaga faini wakafarijika Mia 300 kitugani..?
 
Kwema ndugu zangu.

Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara.

1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.
Siku hizi sio KUBANA MATUMIZI bali Ni mwendo wa kukusanya na kutumbua kila uchao.
 
Yaani mtu ananunuabboda boda halafu hana kodibyeyote alipayo.no bima,no lincese ,no parkibg fees .davmnataka mbebejwe.

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom