luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Wadau habari za mchana wa leo
Naandika UZI huu kwa masikitiko makubwa sanaaa kwa kile nilichojionea na kukumbana nacho wakati nimepita njia ya Kutoka picha yq Ndege kwenda Boko kupitia kata ya SOFU.
TARURA Kibaha TC tambueni pembezoni mwa barabara hii kuna makazi ya watu, mmeichonga barabara hii na kumwaga kifusi kinachotoa vumbi mithili ya migodi katika machimbo alkazalika barabara hii pia ni kero kwa watembea kwa miguu pale ambapo magari makubwa (fuso) na madogo yanapopita kwa speed husababisha vumbi kalii mnoo.
Ivi mlifikiria nini kumwagaa kifusi kinachozua kero sanaa mkumbuke pia watoto wa shule ya twende pamoja hutumia njia kurejea makwao wanapotoka shule ni wazi vumbi hili litawaletea shida katika mfumo wa upumuaji na kusababisa magonjwa kama ya mafua na kifua.
DED wa Kibaha TC pamoja Major wa TC wote m atumia njia hii kurejea makwao ina maana hili vumbi hamlioni au sababu nyie wenzetu kwa sababu huwa mmefunga vioo na kujipulizia viyoyozi.