Kwa wale wataalamu wa kupiga tarumbeta watanielewa haraka jinsi tarumbeta inavyoweza kuharibika haraka. kama utaendelea kuipuliza tarumbeta bila kuisafisha au kupitisha ile sponji ya kukausha mate, itafifia kidogokidogo na ghafla itaacha kutoa sauti maana itakuwa imeshaharibika..
Kama wewe siyo mbishi kama ndugu zangu wa kigoma na Mwanza wanaobishaga hata kama wanaambiwa ukweli mradi tu akishasema sikubari badala ya sikubali utakesha kumuelimisha bila mafanikio.
Tarumbeta zimeharibika, maana hata zile slogan za kumwita JPM mkombozi wa wanyonge zimeshazima. Watu wengine walifikiria wakivaa nguo za kijani na ile kofia na kuamini kila anachofanya ni sahihi leo wameanzisha slogan mpya hakuna mwanadamu aliyekamilifu asilimia 100 TARUMBETA ZIMEHARIKA