Tarime: Watu watatu(ndugu) wahofiwa kufa kwenye Machimbo ya dhahabu Nyamongo

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Ndugu wa 2 wa Familia moja wamefariki wakati wakiwa wanajaribu kuokoana Baada ya mmoja kuhofiwa kufariki kwenye Shimo La Dhahabu

Nyamongo Tarime.

Ni kweli hii tarifa. Imetokea kijiji cha Kerende wilaya ya Tarime. Eneo la tukio ni mgodi ambao kwasasa haufanyi kazi. Ni moja ya vitalu vinavyomilikiwa na Peter Zakaria, na eneo hilo lilichimbwa bwawa kwaajili ya kuhifadhia maji. R i p Mussa, rafiki yangu

1603723236629.png
 
Aliyekwambia kuwa marehemu walikufa kutokana na umasikini ni nani? Unawajua? Ni vizuri kama ungeuliza chanzo uambiwe kuliko kuja na jugement
Kilichowapelekea kwenda kuchimba gold kwenye sehemu hatari na isiyo zingatia mine safety standards ni umasikini tuu.
 
Jamaa unakichwa kigumu sana. Tatizo unaishi kwa kukariri. Chanzo cha vifo hivi.

Kuna dogo wao alikuwa anachunga, kama unajua wachunga ngombe hupenda kudandia mifugo hasa watoto. Dogo alipofika eneo la tukio alitaka kudandia kwa ngombe bahati mbaya akateleza akadumbukia kwenye bwawa lililojaa maji. Hao ndugu zake pia walikuwa hayo maeneo, wa kwanza akataka amuwahi dogo kabla hajazama zaidi ila bahati mbya hilo bwawa ni refu kwenda chini na kingo zake zimekaa kama ukuta plus uterezi jamaa naye akazama. Wa tatu alipoona ndugu zake wamezama na mkubwa anainua mikono juu akataka kutoa msaada. Naye akaunga na wote wakafa.

Hata ishu ya kuwatoa ilibidi greda liende likachimbe mtaro pembeni na kubomoa kingo za bwawa ili maji yachepuke ndio wakawatoa marehemu. Sasa unapoletq ujuaji wa kusema marehemu walikuwa wanachimba dhahabu, ni kutaka uonekane mjanja sana wkati watu wamepoteza ndugu.
 
dah pole sana mkuu
 
Afadhali umemuelewesha kiungwana bila kutoa maneno machafu hata mimi nimepata picha halisi.Huo unaitwa uungwana big up bro
 
Back
Top Bottom