Elections 2010 Tarime wampa "kofi" Mwera

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Baada tu ya Prof.Lipumba kuongea na wanachi,aka ponda chadema kadri alivo weza!
Badae akakaribishwa mwera kuongea na wana tarime,....nilijua naondoka peke yangu....oooooh nashangaa umati wa watu unaondoka kama vile mkutano umeahirishwa et duh!
 
Huyu ni yule aliyekuwa mshindi kupitia CHADEMA? Aliacha CHADEMA akagombea kupitia CUF?! Mbona kapotea njia? kama ndiye, ameshindwa kusoma nyakati.
 
mambo ya "upiganaji masilahi" mwsiho wake ndio huo! kwenye msafara wa mamba hata kenge huwamo
 
Hey huku mwenye nguvu wala sio CCM pamoja na kuonekana wapinzani wengi,upinzani mkubwa upo kati ya CHADEMA (Waitara) na NCCR-Mageuzi (Mdogo wake CHACHA WANGWE) CCM (Nyambari Nyangwine) hana mvuto!
Ina hitajika nguvu kidogo tu ya siku moja kuokoa jahazi,ila naamini wana-tarime hawajaimiss CCM kwa sasa
 
Naongezea na pole Chadema, pole CUF, mtagawana hizo kura za Tarime katika hii vita ta panzi, kunguru amejisimami pembeni akisubiri kufurahia.

Hivi ndugu yangu watu wa Tariem unawafahamu vizuri? Hawa akina mura hawana mchezo. Pia, CCM watapataje ushindi wakati wapiga kura wote (90%) watawapigia kura ama Mwera au mgembea wa Chadema, kwa maana hiyo CCM watapata less than 10%, huo ndio ushindi? Labda wafanye super-chakachua.
 
watu wa tarime si mchezo niliwakubali kwenye ule uchaguzi mdogo.......sisiemu nzima ilihamia pale bado wakashindwa
 
Baada tu ya Prof.Lipumba kuongea na wanachi,aka ponda chadema kadri alivo weza!
Badae akakaribishwa mwera kuongea na wana tarime,....nilijua naondoka peke yangu....oooooh nashangaa umati wa watu unaondoka kama vile mkutano umeahirishwa et duh![/QUO


huko ndo tarime bwana, i love these people...wanafaa kuwa role model wa watanzania wote. AM PROUD TO BE ONE OF THEM!
 
Naongezea na pole Chadema, pole CUF, mtagawana hizo kura za Tarime katika hii vita ta panzi, kunguru amejisimami pembeni akisubiri kufurahia.
Pasco ndivyo walivyokuwa wanasema hata kwa Bukoba lakini hizo ni siasa za sisi m zisizo na mantiki. Ukifanya hesabu utagundua kura za kafu zote ni za sisi m kama battle tuseme ingelikuwa ni ya vyama viwili tu yaani sisi m na chadema.
 
Naongezea na pole Chadema, pole CUF, mtagawana hizo kura za Tarime katika hii vita ta panzi, kunguru amejisimami pembeni akisubiri kufurahia.

Unajifariji mkuu, CCM pamoja na kumwaga mijihela na kila aina ya uhuni lakini wanajua kwamba hawakubaliki na kibaya zaidi mgombea wao hana mvuto wala ushawishi kwa wanatarime.

Mgombea wa ccm ana laana ya baba yake, nani atathubutu kumchagua mtu aliyelaaniwa na baba yake mzazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom