Mazingira yako poa kabisa, kimezungukwa na mahakama ya wilaya ,pia ya mwanzo , ofisi ya mkuu wa wilaya ukivuka ng'ambo ya barabara kuu kuna kituo kikubwa cha polisi ,magereza ,tarime sec na hospital ya wilaya boman. Ukishuka stendi ni mwendo wa nusu kilimita mpaka hapo chuoni utalipia bodaboda sh 1000.Mwenye kukijua hiki chuo anisaidie mazingira yake kwa ujumla na kama kuna mtu ana namba za mawasiliano za mtu yeyote anayesoma hapo au anayefanya kazi hapo, nimechaguliwa kwenda kusoma hapo stashahada ya ualimu, Natanguliza shukrani.
Ahsnte mkuu napambana kupata joining instructions kila nikipiga simu wananipiga kalenda mpaka sasaMazingira yako poa kabisa, kimezungukwa na mahakama ya wilaya ,pia ya mwanzo , ofisi ya mkuu wa wilaya ukivuka ng'ambo ya barabara kuu kuna kituo kikubwa cha polisi ,magereza ,tarime sec na hospital ya wilaya boman. Ukishuka stendi ni mwendo wa nusu kilimita mpaka hapo chuoni utalipia bodaboda sh 1000.
Acha kumtisha weweunaenda tarime ndugu...ukipeleka umjinimjini wako...utashushwa bega...take care
Mkuu ahsnte upo uko?Karibu tarime Tupo tutakupokea mkuu.usiogope Upo Tanzania. Huku watu wapo bize na kutafuta pesa tena zile za dhahabu sio za kudunduliza
Ahsante kaka natokea moshi moshi nasubiri joining yako bado sijaiptaKaribu sana Tarime ujionee Edeni iliyosalia. Jooohs Said kakwambia kila kitu ila mi ntajazia uzuri wa huku kwetu Tarime. Upande wa matunda, ndizi na maparachichi utakula mpaka uache, ardhi ni ya kijani afu kutoka Chuo mpaka nchi jirani ya Kenya(Boda ya SIRARI) nauli ni 1000. Kama unatokea Mwanza kuja Tarime nauli ni 10,000/= wanakuacha Chuoni mana kipo jirani na barabara.
Ahsnte pia mkuu kwa mawazo yakounaenda tarime ndugu...ukipeleka umjinimjini wako...utashushwa bega...take care
Mkuu vp naskia TEMPS(tarime english medium) ili hamishwa kutoka kule cmg hotel,vp ni kweli na ilihamia wapi ? Nilisom paleKaribu tarime Tupo tutakupokea mkuu.usiogope Upo Tanzania. Huku watu wapo bize na kutafuta pesa tena zile za dhahabu sio za kudunduliza
Moshi sehemu gani mkuu?Ahsante kaka natokea moshi moshi nasubiri joining yako bado sijaipta
Tpc kiwandani kakaMoshi sehemu gani mkuu?
Safi sana, karibu kwetu Tarime. Nilikuwa huko maeneo ya MWIKA karibu na MARANGU, Moshi nilipapenda ni kuzuri sana.Tpc kiwandani kaka
Nenda kasome ghhacha utoto, mazingra unayataka ya nn? Ww n kama mwanafunz wa sekondar, utatakiwa kuy fagia, kuhesabu namba nk.. Unaulizia mazingra ili uyafanyeje? Hata yakiwa mabaya kwani utahama?Mwenye kukijua hiki chuo anisaidie mazingira yake kwa ujumla na kama kuna mtu ana namba za mawasiliano za mtu yeyote anayesoma hapo au anayefanya kazi hapo, nimechaguliwa kwenda kusoma hapo stashahada ya ualimu, Natanguliza shukrani.
Thanks mkuu nashkuru mnoSafi sana, karibu kwetu Tarime. Nilikuwa huko maeneo ya MWIKA karibu na MARANGU, Moshi nilipapenda ni kuzuri sana.
Ukitaka kuja huku kuna njia mbili 1.Inayopitia mbugani Ngorongoro na serengeti 2.Toka Moshi hadi Mwanza(nauli 35,000/= Ila ukipandia Arusha to Mwanza nauli ni elfu 28 hadi 30, hapa chukua MGHAMBA EXPRESS ambayo ni mashine. Nami nakushauri utumie njia ya Mwanza ambapo utalala NYEGEZI STAND then kesho yake utachukua daladala hadi BUZURUGA STAND ambapo kuna mabasi yaendayo TARIME na kutoka Mza to Trm ni masaa manne kutokana na tochi ila zamani ilikuwa n masaa matatu.