Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 811
Tajiri mmoja ajulikanaye kwa Jina la Ndugu Mkazi wa sirari wilayani tarime amemuua kijana mmoja (19) kwa kumpiga Risasi,tukio hilo limetokea baada ya wawili hao kutofautiana kauli mapema leo Leo trh 30/12/2016 majira ya SAA 7:00 mchana huko katka kijiji cha sirari wilaya ya tarime.
Baaada ya kitendo hicho wananchi wenye hasira kali waliamua kulichoma moto gari la tajiri huyo na kutaka kuchoma moto hotel anayoimiliki Ndugu iliyopo katika mji mdogo wa sirari wilayani humo.
Polisi walitanda katika hotel hiyo huku wakiwadhibiti wananchi kwa mabomu ya machoz na Risasi za moto,
Jamaa huyo (Ndugu) inasemekana amejisalimisha ktk kituo cha polisi sirari wilayan Tarime
update toka mji mdogo wa sirari, jamani mmesema meeengi mwenye kututukana wakurya ametukana lakini yote 9 marehemu alikuwa mchokozi, muuaji alikuwa na ugomvi na baba yake na marehemu baba akawa amepiga kilevi akamwita dogo/marehemu aje amsaidie, marehemu akaja na panga serious ili amkate jamaa,muuaji akapiga risasi 2 hewani lakini marehemu anazidi kumsogelea ikabidi jamaa amshut na kuua palepale., leo akiwa selo muuaji nasikia analia kama mtoto. ni hayo tu toka sirari