Tarime, Sisi Ndio Wanaume.......Tunalinda Tanzania, Ikibidi Tunajitenga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime, Sisi Ndio Wanaume.......Tunalinda Tanzania, Ikibidi Tunajitenga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jan 12, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nyie mnaojidai wasomi wa kujificha nyuma ya komputa, muda umefika kwetu sisi kuvaa uwanaume dhidi ya Dikteta Jakaya Kikwete. Tumewaomba msaini petitsheni lakini mnabisha mnaleta kujua. Hivi ndivyo tulivyoumbwa, wanatarime na wanamara. Tunaunda nchi yetu kanda ya kaskazini ili tukae mbali na mkwere

  DAWA YA MKWERE NI WANAUME WA TARIME... TUNAINGIA PORINI, NYIIE MBUZI WAOGA, HATA BAAD AYA KUONA YALIYOTOKEA ARUSHA MNABAKI KUKEJEILI WATU..


  ONENI UJASIRI TARIME
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Uko wapi huo ujasiri wenu? Halmashauri ccm?, mbunge ccm? Katibu mkuu wa chama makamba?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,508
  Trophy Points: 280
  mbunge wenu anatoka wapi? If nt ccm then come we gonn talk , and if ccm kaa kimya au hamia mwanza au iringa au arusha ndio uje tuongee hapa
   
Loading...