Tarime sasa shwari - Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime sasa shwari - Polisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa Ndima, May 25, 2011.

 1. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Miili ya marehemu waliouawa na Polisi imezikwa leo bila mikusanyiko ya watu baada ya Polisi kupiga marufuku mikusanyiko. Wanasema kwa sasa hali ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

  Nini kitafuata...?
   
 2. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yatafuata mauaji na visasi dhidi ya polisi, mie tarime naijua bwana!!
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  one mistake one goal
   
 4. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  itakuwa balaa
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Polisi hao ni vituko. Shwari maana yake nini wakati watu wameuawa? Ndugu na wategemezi wa hao walouliwa watapata wapi ushwari?
   
 6. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  sijui hii shwari yao imetoka wapi?
   
 7. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimeona itv wanasema Tundu na wenzake wameachiwa ila walichaniwa nguo
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huo ushwari unaanzia wapi wakati wananchi wako kwenye maombolezo ya ndugu zao na wengine wamepoteza ndugu wawili kwenye matukio kama haya
   
 9. z

  zamlock JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ukujua jinsi ya kuwakilisha topic yko mkuu
   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ulitaka niiwakilishaje, hiyo ndiyo taarifa ya polisi wa Tarime kuwa hali ni shwari sasa ulitaka nisemeje?
   
Loading...