Tarime: Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa ahojiwa na Polisi

Status
Not open for further replies.
Jamani hii ndio Tanzania niulize swali "UPINZANI ukichukua nchi hao viongozi wa POLICE watakuwa upande upi kwan iright now wanaonesha kutopenda what UPINZANI does"

itabidi huyo rais wa upinzani aireform jesh la police kwakuwapiga chini wakuu wake
 
Taarifa za uhakika kutoka Sirari Tarime ni kwamba baada ya mahojiano marefu ya takribani masaa manne na nusu, hatimaye Heche ameachiwa huru na polisi bila masharti yoyote.
OCCID George wa Sirari amedai kuendelea na uchunguzi zaidi wa tukio hilo na kama watamhitaji tena Heche basi hawatosita kumuita.

MY TAKE:
Binafsi sioni kesi yoyote ambayo polisi wanaweza kumshitaki Heche, ni bahati mbaya sana kwamba jeshi la polisi linafanya kazi kwa shinikizo la wanasiasa wa ccm hata kushindwa kutumia weledi wao.
 
Mungu yupi? Wa KARATU au WAMACHAME?

hata hivyo sawa tu kwani Mungu yupo sehemu zote iwe machame, karatu hata moshi, kwa maana ndiye aliyeumba dunia hii yote na vyote vilivyomo pia aliwaumba hata nyie Magamba na kuwaweka madarakani kwa miaka 50 na ndiye atakayewatoa 2015 kwa aibu kubwa.
 
Taarifa za uhakika kutoka Sirari Tarime ni kwamba baada ya mahojiano marefu ya takribani masaa manne na nusu, hatimaye Heche ameachiwa huru na polisi bila masharti yoyote.
OCCID George wa Sirari amedai kuendelea na uchunguzi zaidi wa tukio hilo na kama watamhitaji tena Heche basi hawatosita kumuita.

MY TAKE:
Binafsi sioni kesi yoyote ambayo polisi wanaweza kumshitaki Heche, ni bahati mbaya sana kwamba jeshi la polisi linafanya kazi kwa shinikizo la wanasiasa wa ccm hata kushindwa kutumia weledi wao.

Ahsante sana kaka kwa updates...

Huwa siku zote nashindwa kuwaelewa watawala wetu...Labda kwa sababu walishaapa kuwa CCM itatawala milele...Vinginevyo, nashindwa kuamini na kuelewa polisi wanakopata nguvu na ujasiri wa kuwanyanyasa mabosi wao wajao (from January 2015)!!!

Upuuzi huu ndio utawafanya watuanzishie ushenzi kama ule wa Kenya baada ya uchaguzi wa 2007!!

Mungu atatunusuru tu!!
 
Taarifa za uhakika kutoka Sirari Tarime ni kwamba baada ya mahojiano marefu ya takribani masaa manne na nusu, hatimaye Heche ameachiwa huru na polisi bila masharti yoyote.
OCCID George wa Sirari amedai kuendelea na uchunguzi zaidi wa tukio hilo na kama watamhitaji tena Heche basi hawatosita kumuita.

MY TAKE:
Binafsi sioni kesi yoyote ambayo polisi wanaweza kumshitaki Heche, ni bahati mbaya sana kwamba jeshi la polisi linafanya kazi kwa shinikizo la wanasiasa wa ccm hata kushindwa kutumia weledi wao.

Hamna mkuu polisi wengi hawana lolote upstairs. Amini ninalokuambia. Ni wachache sana walio na kitu kichwani lakini ni bahati mbaya sana nao wamemezwa na hao wengi na wote wamekuwa kundi moja. Ni bahati mbaya sana!
Bila shaka tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika jeshi la polisi... twahitaji mabadiliko haswaaaaaaaaaaaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom