Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,609
“Kwa siku tatu mfululizo nililishuhudia gari lililohusika katika tukio likiwa limeegeshwa nyuma ya kituo cha mafuta cha Zakaria wakijifanya kulifanyia matengenezo, hii inaonyesha walikuwa kwenye mtego kufuatilia nyendo za Zakaria.” - Bashiri Selemani, M/Kiti wa Mtaa
Zakaria nae inaonekana ana Wapelelezi wake bila shaka.