Tarime: Makada wa CCM wanahaha kujipenyeza kwa wasimamizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime: Makada wa CCM wanahaha kujipenyeza kwa wasimamizi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zak Malang, Oct 31, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Nimepata habari mida hii kutoka Tarime kutoka kwa jamaa yangu mmoja kwamba huenda kukatokea vurugu pale kushinda zile za mwaka juzi wakati wa uchaguzi mdogo. Anasema makada wa CCM wanataka kujipenyeza kwa wasimamizi wa vituo lakini vijana wamekaa imara.

  Anasema kama kutatokea vurugu na ghasia nchini, basi ni CCM tu ambao daima huwa hawataki kushindwa.


  HII TAARIFA INATIA MOYO SANA!!
   
 2. N

  Nataka Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  very encouraging
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Kwa Tarime CCM wakubali yaishe
   
 4. K

  King kingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Duh kweli madaraka matamu maana jamaa baado wanapambana tu ili tusiwang'oe..
   
 5. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,188
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kuna sehemu zingine wakiamua kuiba, wameamua kuleta vita...
   
 6. c

  chanai JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania yote tunatakiwa kulinda kura kama Tarime. Mwaka huu sisiem itawatambua wananchi
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  aiseee,naomba tu kazi hii iishe kwa amani kabisaaa na hii inawezekana kama haki itafuatwa
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,778
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  Tarime ni 'choo cha kike' kwa CCM
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,778
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  mbavu sina
   
Loading...