Elections 2010 Tarime kunawaka moto;mwenyekiti aomba uongozi wa juu wa ccm utaje matokeo ya ubunge

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Ama kweli tungepata TARIME Kama 10 kati ya 25 hakika akuna uupuuzi wa CCM wangeufanya ...kwa walioona TBC mwenyekiti wa CCM tarime amesema ameshindwa kutangaza matokeo baada ya kukaa na wagombea na kushauriana na kushindwa kuafikiana kutaja matokeo na hivyo kuishia kuomba matokeo yapelekwe mbele na ngazi za juu zitataja mshindi..hii kali wapendwa sijapata kuiona...nimefutahi maana watu wa kule wametangaza kama mtu wao walioamini ameshinda baada ya kuhesabu kura ataachwa basi watajua nini maana ya wanatarime

Hata hivyo habari zaidi zinasema mwenyekiti amebidi aishie kupeleka ngazi za juu baada ya kata 4 ambazo matokeo wanadai ayajaletwa lakini ukweli inadaiwa kuna wapuuzi walitaka kuleta ujinga wao na hivyo waliokuwepo hapo awakutaka kuwachelewasha zaidi ya kuchana chana leja na kusonga mbele ......

Hakika CCM mmetufundisha ni jinsi gani mnavyowaibia wapinzani ama mtakavyowaibia
anayway je hii itakuwa njia ya kuwakamata 2010 oct anyway yetu macho
 
safi sana mkuu, hayo mambo yalikuwepo toka enzi zile, saizi naona mwamko umekuja juu, hadi kieleweke.
 
MBONa kwingine aaawamki jamani kama awa tarime.....?????????????????
ama kuna mapepo yanatufunga tusidai haki zetu kule awanunuliki TATA wakisema MURA NENDA UNAENDA tata we pumziki utasikika kwenye magazeti
 
"Aliyenunua cheni kauziwa cheni ya bandia, aliyelipwa nae kapewa hela feki!!! Haya ndo yaliyojiri Tarime, wagombea wamelizana
 
Ni advantage kwa CHADEMA kwa kuwa nina uhakika wana CCM ambao mgombea wao hatapita, wataipigia kura CHADEMA ili kuwaongezea ushindi.

Ajabu ni kwamba hayo yote yakifanyika Polisi wako kimya, subiri Oct 31 ifike utaona jinsi Tarime kunavyofurika FFU, UwT na Polisi wa kawaida.

Kaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom