Targets za Arsene Wenger

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,876
20,285
Arsene Wenger ameanza taratibu za kununua baadhi ya wachezaji ili kuziba pengo lililiachwa na Mathieu Flamini na uwezekano wa kuondoka kwa Alex Hleb kwenda Inter Milan.

Ifuatayo ni orodha ya majina na wachezaji wanaozungumzwa pale Emitares.


gattuso_808661.jpg

Ivan Gennaro Gatusso.

Mshindi wa kombe la Dunia na timu ya Italia na mchezaji wa AC-Milan pia ya Italia.

Gattuso amewahi kucheza Uingereza katika ligi ya Scotland akiwa na timu ya Rangers. Ni mchezaji wa kiungo na kununuliwa kwa kijana mdogo Flamini kunaashiria kufunguliwa milango kwa Gattuso kutafuta timu maana atakuwa ansugua benchi. tatizo ni umri ambao ni mkubwa kidogo wa miaka 31 na Wenger hilo linamzuia.

Makoun_280x390_481467a.jpg

Jean II Makoun

Huyu ni kutoka Cameroon. Arsenal wanafuatilia mwenendo mzima wa kijana huyu na iwapo Alex Hleb ataondoka basi huyu ndio ataziba pengo. Moja ya matazamio ya Jean ni kuingia Uingereza baada ya mkataba wake kwisha pale Lille Ufaransa.

obafemi_martins.jpg

Obafemi (Oba) Martins

Oba ana kasi, nguvu na ni mwepesi.

Pia Wenger ana uwezo wa kulipa mpaka paundi 15milioni kwa mshambiliaji huyu matata. Pamoja na kwamba tayari pana washambiliaji kama Emmanuel Adebayor, Robin Van Persie, Eduardo and Nicklas Bendtner, tatizo la majeruhi ndilo limewadhuru Arsenal msimu huu. Newcastle wana matatizo ya fwedha na kocha wao Kevin Keegan amekiri kwamba itabidi auze baadhi ya wachezaji ili kupata fwedha kidogo za kuijenga upya timu hiyo ambayo msimu huu haijaweza kuwa hata katika kumi bora.

KranjcarvManCity.jpg

Niko Cranjcar

Kranjcar, alijitengenezea jina na timu ya Dinamo Zagreb na Hajduk Split kabla ya kujiunga kwa paundi £3.5m na timu ya Portsmouth miezi 20 iliopita, amecheza vizuri katika ligi kuu msimu huu na pia ameisaidia sana Croasia kuitoa Uingereza katika mechi ya kutafuta timu za kucheza fainali za mataifa ya Ulaya miezi michache ijayo mwaka huu.

Wenger anaweza kuweka mezani paundi milioni 10 kwa kijana huyu mwenye umri wa miaka 23.

Ni hayo tu wapenzi wenzangu wa Arsenal ingawa pia kuna majina mengine ambayo yanazungumzwa kama Charles N'zobia wa Newcastle anaegharimu paundi 10 milioni na Ben Arfa wa Lyon ya Ufaransa ambae atagharimu paundi 12milioni.
 
kwa hadhi ya arsenal hao wachezaji wooote hawana nafasi isipokuwa ryno genaro ivan gattuso ndo anaweza kuja kututumikia.

kama utakuwa na kumbukumbu martins amekimbia inter kwa skendo ya kudanganya umri, so tunaweza kumtumia kwa kipindi kifupi kama kipindi kile tulivyomtumia davol suker....

kumbuka arsenal ni moja kati ya timu kubwa hivyo tusiruhusu kujaribu wachezaji, wanatakiwa wachezaji wazoefu na wenye kujua wajibu wao waliopewa.
 
kwa hadhi ya arsenal hao wachezaji wooote hawana nafasi isipokuwa ryno genaro ivan gattuso ndo anaweza kuja kututumikia.

kama utakuwa na kumbukumbu martins amekimbia inter kwa skendo ya kudanganya umri, so tunaweza kumtumia kwa kipindi kifupi kama kipindi kile tulivyomtumia davol suker....

kumbuka arsenal ni moja kati ya timu kubwa hivyo tusiruhusu kujaribu wachezaji, wanatakiwa wachezaji wazoefu na wenye kujua wajibu wao waliopewa.
 
kwa hadhi ya arsenal hao wachezaji wooote hawana nafasi isipokuwa ryno genaro ivan gattuso ndo anaweza kuja kututumikia.

kama utakuwa na kumbukumbu martins amekimbia inter kwa skendo ya kudanganya umri, so tunaweza kumtumia kwa kipindi kifupi kama kipindi kile tulivyomtumia davol suker....

kumbuka arsenal ni moja kati ya timu kubwa hivyo tusiruhusu kujaribu wachezaji, wanatakiwa wachezaji wazoefu na wenye kujua wajibu wao waliopewa.

Mkuu

Lakini Niko ni "creative" katika nafasi ya kiungo na kama Alex Hleb akiondoka itabidi Niko anunuliwe si umemwona anavowasaidia Portsmouth na umtizame katika FA Cup wiki moja mbili zijazo.

Huyu anafaa sana kusaidia mashambulizi kama Alex alivokuwa akifanza akiwa na Flamini na Cesc Fabregas.

Oba hatuna uhakika kama amedanganya umri lakini ukitafuta suluhisho huwa unakuwa na lile la muda mrefu na mfupi kama Harry Redknap wa Portsmouth, unajua wachezaji wote ambao amenunua mwaka huu wengi ni wazee?

Amechanganya James, Campbell, na Lauren na wadogo kama Niko na Defoe.
 
Lyon starlet Hatem Ben Arfa has admitted there is an interest from Arsenal in him.

The 21-year-old, just voted Young Player of the Year in France, has been strongly linked with a summer move to Emirates Stadium, with Marseille also known to be keen.

Ben Arfa has now revealed that talks about a move to Arsenal have taken place.

"It is true that we have spoken about Arsenal, but we will see how it is going to happen," he told L'Equipe.

"If I stay at Lyon, it is to play. Wherever I go, it will be to play.

"The season is not over yet, two games are remaining (one in Ligue 1 and the Coupe de France final).

"Today I am at Lyon. We will see what tomorrow is made of. I try to give my maximum and to give everything when I am on the pitch."

HatemBenArfa_594119.jpg
Frustration

Despite his undoubted ability, Lyon coach Alain Perrin still does not always use Ben Arfa from the start, something which is a concern to the young midfielder.

"It is frustrating when I am on the bench but it is part of the job."

Kwa hio kama utabiri wangu waenda vizuri basi Ben anaweza kutia signature yake ndani ya mkataba na Arsenal ndani ya wiki tatu zijazo.

Alternative

Jean_Makoun800x600_565074.jpg

Jean Makoun

If Arsenal fail to lure Makoun to Emirates Stadium Arsene Wenger is then likely to switch his attention to Sevilla's Seydou Keita.

The Mali international revealed at the weekend that a top four club in England has been in contact concerning a close-season transfer, but Spanish giants Barcelona are also keeping close tabs on the situation.

Source: World Sports
 
tourebrothers_870693.jpg
Yaya

Yaya Toure has admitted he would love to play alongside his brother Kolo at Arsenal.

The Gunners are being strongly linked with a move for the Barcelona midfielder - who could be surplus to requirements next year with Pep Guardiola taking over from Frank Rijkaard.

Arsenal boss Arsene Wenger is no stranger to the younger Toure - indeed he spent time on trial at the club in 2002 but a deal was not struck and The Gunners' then Belgian feeder club Beveren sold him to Ukraine outfit Metalurg Donetsk.

Toure, 25, has since moved up and up through his career with Olympiakos, Monaco and now Barca.

A move to link-up with brother Kolo - who is a huge fan of his younger sibling - has always been mooted and now it appears a deal could be on the cards.

With Mathieu Flamini leaving the club and doubts arising over Alexander Hleb - Wenger needs quality midfield reinforcements and Toure junior could be the man.

Source: World Sports
 
Wakati Arsenal wanafikiria, timu zingine zitapitia shopping list yao.
Tayari Adebayor kajiona big deal, anaanza kujitongozesha kwa Barcelona. Patrick Viera naye kashaanza kuongea anawaambia Arsenal wawalipe wachezaji wao zaidi ili wasipotee. Thats the truth, the whole truth and nothing but.........
They just need a big time investor, lasivyo itakuwa kuvizia mabaki ya wachezaji......
 
Wenger anahitaji striker mmaliziaji!
Hawa vijana wanapiga kandanda la kufa mtu!
Tatizo ni kuukwamisha mpira wavuni pasi na maskhara mithili ya mtu kama Didier Drogba!
 
Fabregas urges Villa to join him at Arsenal

full_975293David_Villa.jpg

David Villa


CESC FABREGAS has called for Spain team-mate David Villa to join him at Arsenal.

Speaking at the The Cesc Fàbregas Show: Nike Live for Sky Sports, the talented midfielder admitted he would love to see the Valencia striker at the Emirates.

Asked by a member of the 400-strong audience which player he would prefer to see in the Gunners side, Fabregas replied: "Villa."

"We are very good friends. I think Villa would be very good for Arsenal," claimed Fabregas.

That admission will no doubt have been noted by manager Arsene Wenger, who was also in attendance.

Villa had recently stated that if he was to move to these shores, Arsenal would be his preferred destination. And after watching his side stumble to a lowly 12th place in La Liga, thus failing to qualify for both the Champions League and UEFA Cup competitions, Villa has become disillusioned with events at the Mestalla and has been linked with a big-money move abroad.

With Chelsea also reportedly interested, it remains to be seen whether Wenger would make an offer, as it would take an offer of at least £25million to prise him away from Valencia.

Speculation growing over possible Arsenal move for Argentine striker

full_975373Mauro_Zarate.jpg

Mauro Zarate

THERE is growing speculation that Arsenal are lining up a bid for Birmingham City striker Mauro Zarate.

The Argentine forward has caught the eye of Arsene Wenger after a series of impressive performances for the Blues, although it wasn't enough to save them from relegation.

Zarate, 21, joined Birmingham on-loan from Qatar club Al-Sadd, but he hopes to remain in the premier league, with Arsenal touted as a potential destination.

Ukizingatia kwamba Birmingham wameshuka daraja hawatosita kukubali kitita chochote kile.

Martins not for sale, Gunners boss warned

full_974257martins.jpg

Oba

ARSENAL boss Arsene Wenger has been warned off making a bid for Newcastle forward Obafemi Martins.

Wenger is known to be a keen admirer of the Nigerian (pictured) since the players days at Inter Milan.

And reports have been mounting that the Gunners chief has already launched a £15 million bid for the ace.

But Toon boss Kevin Keegan insists that he has not received any bids for the 23-year-old, and would not welcome them anyway.

"Anyone that goes will be a bit of a blow, especially if something like that happens late on in the summer," Keegan told the Newcastle Chronicle.

"However, Arsenal have definitely not approached me.

"I want to keep all my players and add to them if I can."

Martins, who has three years to run on his contract, joined the Magpies for £10 million in 2006. He has scored 20 goals in 64 games.




Source: Various
 
Rivals Spurs and Arsenal look set to miss out on Portsmouth target

full_976460Niko_Kranjcar.jpg
Nico Kranjcar

ARSENAL and Tottenham target Niko Kranjcar has insisted he wants to remain at Portsmouth.

The Croatian attacking midfielder will have the chance to win his first piece of silverware with the club when Pompey take on Cardiff City in Saturday's FA Cup final. And he insists he is happy at Fratton Park, despite interest from the two north London sides.

"The quality is there, you just have to look at the players here and see what they have won in their careers," said Kranjcar.

"We have a great future here and a team that is ready to play big games."

Sources: Various
 
Arsenal are ready to move for Werder Bremen's 23-year-old midfielder Diego if Alexander Hleb leaves this summer.

Manager Arsene Wenger will be under pressure to make an impact signing and Diego, capped 34 times by Brazil, certainly fits the bill.

Diego0603SDM_468x312.jpg
Target Diego


Source: Various
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom