TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,886
- 11,282
duuuuhhh,
ha ha haaaa...kaka leo umekuja na misemo mipya mipya kwangu...
Kule juu nimeona unamuambia mtu akirudi apige hodi na vigelegele kama alivyoaga na huzuni...
hapa napo eeehhh; eti mtoto mtembezi atakula miguu yake? lahaula walauqwata ha ha ha h!!!!
Da Sophy pole shemeji!
Mkuu nilikua narejea vitabu vya kiada vya o level ndo nikakumbuka vijisemo vya fasihi
Kweli mkuu da sophy kwa hili atakula miguu yake, maana ndio iliyomtembeza hadi yakamkuta... ila akijifungua salama ntampelekea diapers...
wengine wanasema angenda juu kipungu, hafikilii mbinguni.. sasa sijui da sophy kwa kuja na lugha ya maombi na anakumbuka kuna mungu au vipi? au ile ya mwenda tezi na omo, marejeo ngamani
leo da sophy aomba tumuombee, la haula walaquata wallahi
haya, walio mecca na medina watamkumbuka kwa zao sala... kama zitaswihi ati'