Tarehe zimepita lakini bado jamani mwe!

Da Sophy

JF-Expert Member
May 12, 2010
388
162
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.

Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
 
da Sopy ulipotea sana kumbe bado hujajifungua...vumilia huwa saa zingine inapitiliza....usijali
 
Weraweraaaaaaa Da Sophy ndani ya mjengoni JF karibu sana nimekuwa naulizia watuwakijichi kama wamekuona wanasema na wao wanamda mrefu!!Ila kwa habari yako subiri kama hupo MNH nipm nikuelekeze kwa dr aliye msaidia wife wangj kwa tatizo kama lako ni gain mzuri.
 
Inawezekana tarehe zilikosewa, changamkia chai ya rangi sanaaaaaaaaa ! na mazoezi, halafu muombe mungu!
 
Pole sana,jaribu kumtafuta mtaalam zaidi maana ujauzito wa siku hizi presha tu,ila nawasihi wana JF wote kila mtu kwa dini yake wakuombee,usijali hilo nalo litapita
 
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.

Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.
Nina experience kwa mke wangu ishu kama hiyo tukapoteza mtoto.
kwa upendo wa mwanao kubali kisu. utapona na kumwokoa mwanao.
 
Da Sophy ukisikia ukubwa ndo huo dada kubali kisu yaishe maana usije kosa mtoto bure sababu ya uoga wa kisu kubali tu
 
pole, mungu ni mwaminifu dada operation mbona ndo dili now days,
take care nenda hospital kubwa fanya operation utakuwa salama tu dada
 
da Sophy usihofu tegemea anytyme from hiyo tarehe 12 utajipatia mwana ,mungu akutangulie
 
Da Sophy ukisikia ukubwa ndo huo dada kubali kisu yaishe maana usije kosa mtoto bure sababu ya uoga wa kisu kubali tu

eti Dena,

Ni kweli ninayosikia kwamba akina mama wengi siku hizi wanapenda kujifungua kwa operation ili tu wakwepe mambo ya uchungu na kupush? Au madaktari ndo wamekuwa 'mafisadi' wanataka hela tu?
 
Tarehe ya kwenye kadi ilikuwa jana 12-11-2010 lakini bado yani hata sisikiii chochote halafu nimevimba kama kiboko! Shida ni nini jamani wenye uzoefu nisaidieni basi.

Jana nimeenda wamenipimapimaaa! Wanasema wiki ijayo kama bado basi itabidi kisu mwenzenu nakiogopa hicho!!!!
Niombeeni jamani mwenzenu.

usiwe na kìherehere, kitaalam siku huwa ni + or- 14. Lakini dasophy, hivi usemayo ni kweli?!, mbona kama jana nimekuona hapa dom ukimshangilia supika mpya?
 
Kisu cha nini nyie? Kwani bongo (assuming Da Sophy yuko bongo) hakuna 'Induncing labor'? If she is past her due date, that's what needs to be done...naturally (vaginally or c-sectionally)
 
Back
Top Bottom