Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

Oyaaa nimekokotoa 30/03/1998 nikapata jibu 15 hay nimepata namba kiongoziii na hiii ina sifa zipiii mkuuu
30/03/1998
Tarehe
30= 3+0=3

Mwezi
03= 0+3=3

Mwaka
1998= 1+9+9+8=27= 2+7=9

9+3+3=15
Nipe maana za kiongoz 15 mkuu
15
1+5=6
Soma maelezo ya 6
 
Watu mnapiga ramli, hongereni.
Hakuna ramli ni elimu ya namba tu ambayo wengi hawaipendi.

Nikupe mfano kidogo

Mwanasayansi Nicole Tesla anasema ukielewa 369 basi umeweza kuelewa siri za ulimwengu.

Katika ijumaa ya kusulubiwa Yesu, masaa yaliyotajwa ni saa 3, 6 na 9.

Namba ni zaidi ya unvyozijua, punguza ugumu wa kupokea maarifa mapya.
 
Mkuu kwa sisi wenye imani ya yesu kutosulubiwa inatuhusu hii
 
Back
Top Bottom