Tarehe ya kuripoti Bukongo sekondari

Jul 2, 2015
18
6
Kwa anayefahamu tarehe rasmi ya kuripoti BUKONGO sec school iliyopo Mkoani mwanza, ukerewe

Kwa maana kwenye join instruction yao hawakuandika tarehe ya kuripoti na ukisema usubir mpaka ziletwe kuna mawili

Msaada wakuu
 
Back
Top Bottom