Shukrani sana Kungurumweupe kwa somo lako ambalo limekidhi haja ya wengi waliobahatika kukutana nalo,ila tusiwe wachoyo kwa wale ambao hawakubahatika.Ama kweli nimefunguka sisi ambao tulikimbia kuclem bilogy.
Thanks to you all mliochangia kuna kitu nimegain
wewe kama ni mwalimu una stahili kuachishwa kazi mara moja.Siku za hatari inakuwa ni siku ya 13(kuanzia siku anayopata period) hadi siku ya 17, au unaweza kuhesabu kwa kurudi nyuma,
Ile siku anayopata period basi ifanye ndo yakwanza then jana yake ifanye ya pili, juzi yake ifanye ya tatu, endelea ivo ivo mpaka zifike siku 15. Hiyo ya 15 ndo ya hatari
nimeangalia vipande vitatu imenishawishi kidogoNasubiri mlishonyuma.
nimeangalia vipande vitatu imenishawishi kidogo
huwa siangalii type hizi ila kwa ajili yako tu
Kivipi mkuu?wewe kama ni mwalimu una stahili kuachishwa kazi mara moja.
Kivipi mkuu?wewe kama ni mwalimu una stahili kuachishwa kazi mara moja.
Mtu akisoma huu ufafanuzi wako hapa akimaliza lazima ameze hedex. Kama ni mwalimu wewe hao wanafunzi wana kazi sanaKivipi mkuu?
Siku za hatari inakuwa ni siku ya 13(kuanzia siku anayopata period) hadi siku ya 17, au unaweza kuhesabu kwa kurudi nyuma,
Ile siku anayopata period basi ifanye ndo yakwanza then jana yake ifanye ya pili, juzi yake ifanye ya tatu, endelea ivo ivo mpaka zifike siku 15. Hiyo ya 15 ndo ya hatari
Hiyo ni siku yai linapevuka(kwa nilivyoelewa) hivyo hapo inabidi urejee ile elimu ya sperm kuwa huwa zinakaa kwa muda gani kabla ya kuharibika,na yai pia hukaa kwa muda gani baada ya kupevuka kabla ya kuharibika,ili uweze kuzitambua siku za hatari.Waoh nimepata elimu mpya ya kuhesabu siku 15 kurudi nyuma....
Swali: hii siku ya 15 ndo pekee ya kupata mimba katika mwezi wote?? Mf. Mzunguko wa siku 28 tunaona kuanzia siku ya 11-14 ni siku za kupata mimba.
Haha ulishawahi kukutana na ile hali ya kuiona thread ya mtu anaomba msaada alafu wewe uwezo wa kumsaidia kimawazo unao, yaani unafeel kabisa uchangie neno lako lakini sasa umechoka sanaa kutype au uko bize sana?Mtu akisoma huu ufafanuzi wako hapa akimaliza lazima ameze hedex. Kama ni mwalimu wewe hao wanafunzi wana kazi sana
Kunguru mweupe yupo sahihi njia hii ni sawa na kusema chukua urefu wa mzunguko wako to a 14 na ukihesabu kurudi nyuma ndo waangukia siku hiyo hiyo ya 15Ni uzi mzuri ila umakini unatakiwa iwapo unataka kupanga mipango yako iende sawa.Maelezo ya Kungurumweupe naona yana uwalakini maana reference zake hajaonesha kazipata wapi wakati vitabu vyote havioneshi hivyo...Kasema watu wengi pamoja na wanasayansi wana wrong concept kuhusu siku ya 14 ila yeye hajasema utafiti wake ameufanya vipi au umefanywa na nani na una ukweli gani.Unaweza kwenda kwenye vitabu vya kawaida tu kama Biological science au google utaona maelezo yake sio sahihi kabisa.Ni tahadhari tu usije kulaumu watu wanaotoa elimu za mambo mbalimbali humu,chukua usemi wa JK...za mbayuwai......?

Siwezi kukataa kuwa yupo sahihi au hayupo sahihi.Ninachouliza ni wapi naweza ku-verify maelezo yake iwe recognized books maana haitoshi tu kusema wanasayansi wengi hawajui hill tukaamini bila kujua yeye kapata kwa mwanasayansi gani wakati vitabu Vinci Na hats madaktari wanatumia kuhesabu from day one.Kunguru mweupe yupo sahihi njia hii ni sawa na kusema chukua urefu wa mzunguko wako to a 14 na ukihesabu kurudi nyuma ndo waangukia siku hiyo hiyo ya 15
Chukua mzunguko wake toa 14 zinazobaki toa nne hapo utafanikiwa,Jamani mm kijana nwenzenu nataka mtoto ila wife mzunguko wake unachanganya kiasi sijui ipi siku ya hatari mzunguko wake uwa unakuwa mrefu mpaka siku 34 mpaka miezi miwili sometime na uwa inabadilika kila mwezi kila nikimsoma nashindwa wenye kujua nisaidieni nataka na mm niitwe baba jamani