Ni kweli kabisa wangesaidia kutupatia mwanga zaidi. Sijui wamejificha wapi?Kwa harakaharaka hapa bado sijaona mwanamke amechangia hoja hii. Naona wanatazama tu hoja na kuguna mmgh!!!! mbona hawajitokezi kutoa ilimu?
Ni kweli kabisa wangesaidia kutupatia mwanga zaidi. Sijui wamejificha wapi?Kwa harakaharaka hapa bado sijaona mwanamke amechangia hoja hii. Naona wanatazama tu hoja na kuguna mmgh!!!! mbona hawajitokezi kutoa ilimu?
Leo kunguru mweupe hujaonekana darasani kulikoni mkuu Dr. wetu tumekusubili kwa hamu sana kupata majibu ya members walio uliza maswali..ok naona utakuwa busy na wagonjwa.
Wakuu,
Naomba nijibu maswali ya Yassin kama ifuatavyo:
Swali la kwanza la Yassin: Kama inabidi iwe siku ya 14 or 15 sasa si kila mtu angekuwa na birthday hizo siku 2???
Jibu: Watu wote hawawezi kuwa na birth day siku ulizozitaja pekee kwa sababu kila mwanamke ana kalenda yake inayoanza tofauti na ya mwingine hata kama wote wakiwa na menstration cycles zenye urefu unaofanana e.g 22 days. Hata kama itatokea kwamba wanawake wawili wakawa na menstration cycles zenye urefu unaolingana, e.g 22 days, halafu hawa watu wakaanza ku-bleed siku moja e.g 01/sept/08 halafu wakapata mimba siku moja e.g 08/sept/08 (yaani siku ya mimba for this case), kamwe haitatokea wakajifungua siku moja kwa sababu, pamoja na kwamba tunafahamu mtoto huwa anakaa miezi 9 tumboni, lakini wajawazito wengi huwa wanatofautiana idadi ya siku za kubeba mtoto tumboni! Wengine huwa wanatimiza exact 9 months, wengine hujifungua chini ya miezi 9, na wengine hujifungua zaidi ya miezi 9 (yaani miezi 9 na week 1 au 2)
Mfano hai: Kama Lorain na Asha wote wawili wana cycles za urefu wa siku 22 kila mmoja, basi Lorain anaweza kuianza cycle yake tarehe 1/sept/08 na akapata mimba 8/sept/08, wakati Asha akawa pengine anaianza cycle yake tarehe 9/set/08 na akapata mimba tarehe 16/sept/08. Pamoja na kwamba wote wana cycles zenye urefu unaolingana(yaani siku 22) lakini safari ya cycle ya kila mmoja wao inaanza siku tofauti na ya mwenzake! Hii ndiyo sababu tosha ya wao wawili kukosa uwezekano wa kujifungua siku moja (same birth day)!
Swali la pili la Yassin: Kwa nini sasa unahesabu kuanzia mbele kurudi nyumba?
Jibu: Kwanza hapa tunataka tuwe na a single/systematic/uniform counting, ili tulahisishe maisha kama kawaida yetu wanadamu! Ndo maana wanasayansi wa zamani walipendekeza tuhesabu siku 14 kuanzia ile siku bleed inapoanza! Kweli hili walifanikiwa lakini ni kwa wanawake wale tu wenye cycle ya siku 28. Walisahau kwamba hii siku ya mimba huwa inasogea mbele kama cycle itarefuka zaidi ya siku 28, na husogea nyuma kama cycle itakuwa fupi chini ya siku 28. Hapa ndipo wengine ikatubidi tufikilie upya jinsi ya kupata that single/systematic/uniform counting! Na hapa ndipo counting back 15 days inapopata umuhimu wake! That's all!
To conclude therefore, Counting back 15 days from the end becomes the only reliable solution for all women, and it replaces the traditional one of counting forward 14 days from the first day of bleed!
Hebu tujikumbushe tena maswali yetu:
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIUME:
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIUME, inabidi alale na mwanaume siku ile ya mimba (fertile day), ambayo ni siku ya 15 unayoi-pin point when counting backward from the last day!
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE:
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya ile siku ya mimba (yaani siku 3 kabla ya ile fertile day)! Hii inaondoa uwezekano wa mbegu za kiume kulirutubisha yai, kwani mbegu zote za kiume zitakuwa zimeshakufa ndani ya siku mbili za mwanzo na kuziacha zile za kike zikidunda kwa siku moja zaidi zikilisubili yai lifike ili zigombanie kulirutubisha! Kumbuka kwamba, ni mbegu moja tu inahitajika kurutubisha yai. Endapo itatokea mbegu zaidi ya moja zikalirutubisha, basi yai hilo litagawika sehemu zenye idadi sawa na mbegu zilizorutubisha ili kutengeneza mapacha wasiofanana kwa sura na pengine jinsia!
Swali: Je, kama menstration cycle yangu ni siku 15, nifanye nini ili nipate mtoto wa kike?
Jibu: Ili mwanamke mwenye menstration cycle ya siku 15 aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya siku ile ya bleed (yaani siku 3 kabla ya ile siku anayoanza kutokwa damu ya hedhi)! Kwa mwanamke wa kundi hili inabidi tukumbuke kwamba, siku yake ya mimba ndiyo siku hiyo hiyo anayoanza ku-bleed!
NOTE: Majibu yote matatu tuliyoyaona hapo juu na katika posts zilizotangulia yana-aply kwa wanawake wote wenye uwezo wa kuzaa, yaani wasiokuwa na utasa [/B]!
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE:
. Endapo itatokea mbegu zaidi ya moja zikalirutubisha, basi yai hilo litagawika sehemu zenye idadi sawa na mbegu zilizorutubisha ili kutengeneza mapacha wasiofanana kwa sura na pengine jinsia!
mkuu angalia vizuri mkate wako(kitabu)
Wakuu Lorain & Kidzogole,
Tatizo lenu naona linafanana. Lakini, kabla hamjayafanyia kazi maelezo nitakayoyatoa hapa, naomba kwanza mfanye uchunguzi wa kina juu ya hizo menstration cycles zenu! Nahisi kama takwimu zenu hamjazifanya kwa umakini! Nasema hivo kwa sababu wanawake wengi huwa hawahesabu siku zao kiasi cha kutunza kumbukumbu mithili ya zile mlizozitoa hapa darasani! Jaribuni kuchunguza tena validity ya menstration cycles zenu!
Lakini kama takwimu zenu mlizozitoa ziko sahihi, basi inawezekana sababu kubwa ikawa ni moja, nayo ni ile ya kisaikolojia!
Kumbuka kwamba cycles kwa kiasi kikubwa huwa-controlled na akili. Hivo kama akili itakuwa na mawazo mengi juu ya tatizo la kimapenzi au wasiwasi unaotokana na kushindwa kubeba mimba kwa muda ambao wanandoa au mmoja wao amekusudia, basi kunauwezekano mkubwa hali hii ikapelekea kuathili mzunguko wa cycle ya mwanamke! Na pengine hii husababishwa na kuwa over ambitious kupata mtoto kwa muda mrefu bila mafanikio!
Hapa ndipo wanawake wengi hujikuta wanapata 'Irregular menstration cycles' kama zile za Lorain na Kidzogole, ambazo kwa kiasi kikubwa husababishwa na unsettled mind!
Msongo wa mawazo huathili kwa kiasi kikubwa swala zima la mapenzi kwa jinsia zote. Kwa mfano: Mwanaume akiwa na msongo wa mawazo halafu hapohapo akataka kufanya tendo la ndoa, basi kuna hatari ya jogoo lake kushindwa kuwika! Hii ni kwa sababu akili yake inamawazo mengi kiasi cha kushindwa ku-concentrate vizuri kwenye tendo lenyewe!
Nini tiba ya hili tatizo:
Jibu: Tiba kubwa ni peace of mind! Kwa msaada zaidi muone psychologist!
NOTE: Mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa nayo huchangia kwa kiasi fulani kupata Irregular menstral cycles!
Asante kaka,
Maelezo yako nimeyaelewa vizuri na asante sana, katika hili swala la irregular mens niko nalo toka nivunje ungo. Sasa and when u said i go and see a psychologist does it mean am insaine sorry kama nimekosea spelling nilimaanisha nimechanganyikiwa! and does it mean I cannot conceive?
Thanks
Dada Lorain,
Sorry for inconveniences, if any!
I didn't mean you are insane when I suggested that you see your psychologist! Labda sikutumia neno mwafaka! Nia yangu ilikuwa ni kwamba, kama hili la irregular mens huwa pengine unalipa muda mwingi wa kulifikiria kama tatizo, basi linaweza likapelekea ku-disturb urefu wa cycle yako. Na kama umeolewa halafu ukakaa kwa muda mrefu bila kupata mtoto, basi hili nalo linaweza kuifanya akili ikawa na mawazo juu ya hatima ya ndoa yenu, kitu ambacho ni hatari kwa 'cycle Consistence'! Kama ni kweli basi jaribu kubadilisha huo mtazamo na utashangaa litaisha after few months! Just think positively! That's it!
Thanks brother,
Don´t worry nilikuelewa, sema tuu nilishikwa na mshangao wa kuambiwa nikamuone psy.. dr.
Kwa kweli to tell u the truth my brother, I just got married for the past six months. Na hilo swala la mens cycle nilikuwa silijui kabisaaa. Sasa baada ya mimi kuona hoja ya swala hilo hapa jamvini likichambuliwa ndo hapo nikaanza kupata muamko na kufatialia kwa ukaribu zaidi. Na nilichokipenda ni jinsi ulivyokuwa ukitoa maelekezo ya kuhesabu mens cycle to know the pin-point for conceiving, ambayo mimi ndo bado inanipiga chenga hapoooo!
Lorain,
Nakushauri ufuatilie tena ili uwe na uhakika zaidi kuhusu urefu wa hiyo cycle yako. Jaribu hili kwa miezi mitatu mfululizo. Huenda ukakuta iko normal!
Kuna dada mmoja aliwahi kuwa rafiki yangu wa karibu sana miaka 10 iliyopita. Siku moja aliniomba nimpe ushauri wa nijinsi gani ataweza ku-avoid pregnancy bila kutumia artificial measures like condom ...etc. Nilimuomba anieleze urefu wa cycle yake. Yeye akasema cycle yake huwa inabadilika kila mwezi (irregular mens). Nikataka anipe ufafanuzi zaidi kuhusu jibu lake. Nilishangaa alipofafanua kwamba urefu wake ni irregular kwa sababu the next period huwa inapatikana kwenye tarehe tofauti na ile iliyotangulia! Hapo ndipo nilipogundua kwamba alikuwa anaongelea kalenda ya mwaka, ambapo ni kweli kwamba period huwa inaangukia kwenye tarehe tofauti karibia kila mwezi ukitumia kalenda ya mwaka!
Nilimuomba afanye tena utafiti wa kina kwa miezi 3 kwa kutumia kalenda niliyoiongelea humu (menstual calendar) na si kalenda ya mwaka. Baada ya miiezi mitatu alishangaa alipobaini kwamba urefu wa cycle yake uko constant (regular cycle) na ilikuwa na siku 26!
Ndo maana ninakushauri ufanye utafiti tena kuhusu urefu wa cycle yako kwa kutumia Menstual Calendar na si kuangalia mabadiliko ya tarehe inapoangukia period yako kwenye kalenda ya mwaka, ili uwe na uhakika zaidi kama una regular or irregular cycle!
I wish you the best!
Jamani naomba niulize swali,
Kama mwanamke anaingia perioud kila baada ya 2 month inakuwaje kwenye swala la mimba.
Jamani naomba niulize swali,
Kama mwanamke anaingia perioud kila baada ya 2 month inakuwaje kwenye swala la mimba.