ChocolateColor
Member
- Jul 18, 2008
- 70
- 2
Naomba kufahamu nikitaka kujua napata mtoto wa kike au wakiume. Wanajamiii nisaidieni.
Asante.
Asante.
Nashukuru kwa hoja na michango ya kila mtu hapa, mimi pia ni mwanamke na kwa kweli nataka sasa kuanza kuzaa na ningependa sana mtoto wa kwanza awe wa kike.
Kugurumweupe nimekupata vizuri sana kaka, ila sasa mimi na siku machanganyiko ndefu na fupi. hapa sijui utaweza kunisaidiaje. Na hiyo 15th day ndo umeniacha njia panda kabisaaaa. Maana kwa uelewa wangu, nikivipi utaanza hesabu kwa kurudi nyuma mpaka upate the 15 day while itakuwa imeshapita, sasa mimba utapataje na siku hiyo ndo itakuwa imepita. Au ulikuwa ukimaanisha kwa the coming month! naomba kueleweshwa hapo please.
Nimekupata dada Lorain! Lakini kabla sijaendelea naomba nifafanue kama ifuatavo:
Naomba watu wasichanganye Kalendar ya menstral cycle ninayoongelea hapa na ile 'kalendar ya mwaka' inayohusu tarehe za miezi 12 ya mwaka ambayo huwa tunaitundika ukutani huko nyumbani na maofisini kwetu! This is a very important point to note, otherwise our lesson will be of no importance! Hebu angalia mfano ufuatao:
Assumed Kalendar for Lorain's menstral cycle (assuming she has a 22 days menstral cycly):
1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 20th, 21st, 22nd.
Kwa mfano: Katika 'kalendar ya mwaka', today is a 29th day. Lakini kama leo hii hii 'tarehe 29/august/2008' dada Lorain angeanza ku-bleed (period), basi leo ingekuwa 1st day ya kalenda yake kwa mwezi huu wa August 2008! Na kalendar yake ingeonekana kama hapo juu. Na 8th day ya kalendar hii ingekuwa ndiyo fertile day yake (siku ya mimba). Kwa hiyo tusichanganye kalenda ya mwaka na kalenda ya menstral cycle! Is very important!
Kwa hiyo basi, leo hii hii Lorain anaweza ku-pin point siku ya mimba yake (8th)kwa mwezi huu wa August kwa kutumia utaratibu wa ku-count 15 days backward from the last day (22nd day for this case) of her above menstral cycle kama tulivoona kwenye posts zilizotangulia. Lakini hili litawezekana tu if and only if she knows in advance the length of of her mentral cycle (i.e. total days of her cycle which is 22 days for this case)!
Hapa tunaona kwamba, jambo la kwanza ambalo Lorain anatakiwa ajuwe ni ku-establish the length of her menstral cycle/s. Akishajua urefu wa menstral cycle yake itamurahisishia kui-pin point ile siku yake ya mimba kwa kutumia njia ya counting backward 15 days from the last day kama tulivojifunza hapo awali!
Swali: Lorain atawezaje kuestabliush the length of her menstral cycle/s?!
Jibu: Kama Lorain ameanza ku-bleed leo 29/08/2008, na kama leo hii hii Lorain bado hajui urefu wa menstral cycle yake, basi itabidi ai-note/aiandike siku ya leo kwenye diary yake kwa kumbukumbu (reference point), halafu aanze kuhesabu kuanzia leo 1, 2, 3, 4, 5, ... mpaka siku atakapopata next bleed ambayo definitely itaangukia kwenye tarehe yeyote ya mwezi ujao (September). Kama kwa mfano Lorain ana menstral cycle ya siku 22 na ameanza ku-bleed leo, basi her next bleed itakuwa tarehe 19/sepember/2008 (22nd day-which is the last day of the first menstral cycle and it will automatically become the first day of the second menstral cycle as we will see below). Kwa hiyo tarehe 19/09/2008 ndiyo itakuwa the 22nd day for Lorain's mentral cycle which started today 29/08/2008 (1st day), na tarehe 5/09/2008 (8th day) itakwa ndiyo siku yake ya mimba (fertile day).
Hence note that, if Lorain's first bleed is today 29/08/08 (1st day), then her second (next) bleed will be on 19/09/08 (22nd day). That is why in the above Lorain's Kalendar both 1st and 22nd days are marked in blue colour to let you know that they actually represent the same event, the bleed or period event! Therefore, on 19/09/2008, Lorain will start counting her second (next) mentral cycle, which, will actually end on 10th/October/2008 and its . That is why is called CYCLE! Where you end is where you start in order to make another cycle and so on and so forth ...!
Kwa vile Lorain amedai ana cycles mbili, yaani fupi na ndefu, basi inabidi afuate the same procedure kama ile tuliyojifunza hapo juu (22 days cycle) ili aweze kuestablish urefu wa menstral cycle yake ile ndefu e.g 35 days cycle! Wanawake wengi wana cycle 2!
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIUME:
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIUME, inabidi alale na mwanaume siku ile ya mimba (fertile day), ambayo ni siku ya 15 unayoi-pin point when counting backward from the last day!
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE:
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya siku ile ya bleed (siku 3 kabla ya ile siku anayoanza kutokwa damu ya hedhi)!
Sababu za majibu yote mawili tumeziona hapo juu na katika posts zilizotangulia. Na majibu yote mawili yana-aply kwa wanawake wote wenye uwezo wa kuzaa, hata kwa wale ambao menstral cycles zao ni siku 15 (abnormal menstral cycle of 15 days)!
Nawakilisha wakuu...
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE:[/B]
Jibu: Ili mwanamke aweze kuzaa mtoto wa KIKE, inabidi alale na mwanaume siku 3 kabla ya siku ile ya bleed (siku 3 kabla ya ile siku anayoanza kutokwa damu ya hedhi)!
Sababu za majibu yote mawili tumeziona hapo juu na katika posts zilizotangulia. Na majibu yote mawili yana-aply kwa wanawake wote wenye uwezo wa kuzaa, hata kwa wale ambao menstral cycles zao ni siku 15 (abnormal menstral cycle of 15 days)!
Nawakilisha wakuu...
Nataka kuelewa jinsi ya kupata mapacha pia anayefahamu aweke hapa
Mwalimu hilo la kupata mtoto wa kike halijakaa sawa, linavuruga concept yote uliyokwisha eleza hapo awali. What i know, you can increase the chances of getting a female child kwa kujamiana siku 3 - 4 kabla ya ovulation siyo bleeding. Yaani pinpoint ya siku ya 18 au 19 toka siku ya hedhi. Kwa maana hiyo wanawake wanao tumia siku 15 chance za kupata mtoto wa kike is almost zero.
Unaweza ukadownload ovulation calendar.exe, ukainstall then itaku-lead katika siku salama, za hatari na siku unazoweza kupata mtoto wa kike au wa kiume. Software hiyo unaweza kuipata ktk ovulation-calendar.com
Mwalimu Kunguru mweupe tunashukuru sana tena sana kwa mchango wako mzuri hapa Darasani....
Napenda kuwakilisha hoja tukuteue rasmi uwe JF Dr. au waungwana mnasemaje?Maana naona bro. upo ndani sana ki-biolojia.Napenda kuwakilisha hoja mezani.
Kaka asante sana,
Kwa kweli pole sana kwa usumbufu tunaokupa, mimi nimekuelewa vizuri sana on how to go about with menstral cyles calender which is not the same as the year calender. My questions still remains the same, how will i pin-point my fertile days while my mens from February until now went like this:- March 08th, March 31st, April 24th, May 30, June 26th July 24th and now August 20th. This means i dont have a proper cirle. Hebu niambie sasa hapa nitafanyaje na nimekuwa nikijilengesha siku za 12-17 kwenye cirlce yangu niconcieve lakini hola kaka yangu! Nisaidie please maana.......... mambo yatakuwa si mambo. Asante
Jamanie, naomba mnisaidie hapa, mimi yakwangu ina tofauti kama inavyoonyesha pao mnavyoongea, naomba sana unisaidie mkuu. yaani, nilianza 23, nikaja 22, nikaja 26, nikaja 28, na mwezi huu uliopita nimepata mcy nikiwa na siku 25 tu. hivyo utaona kuwa ni tofauti sana. mfano mwezi huu nilienda tarehe moja, nikaongukia tena tarehe 25 hivyo zikawa zimeenda siku 25 tu. hivyo inaenda tofautitofauti hivyohivyo. Namba mnitoe mimi kama mfano hapa, mnipe ushauri siku probable itakuwa lini jamani. nilifikiri mimi ni abnormal, kumbe kuko wengi. and i need kupata mtoto.
kunguru hongera sana mkuu kwa mawazo yako mazuri maana nahisi wewe ni mwalimu maana maelezo yako hata mtu awe vipi ataelewa tu lazima...Lakini sasa mimi nilikuwa naomba kuuliza kwamba kama inabidi iwe siku ya 14 or 15 sasa si kila mtu angekuwa na birthday hizo siku 2???Anyway nadhani mlishasema kwasababu kuna wengine wanasiku ndefu..Pia swali langu lingine ni kwamba kwa nini sasa unahesabu kuanzia mbele kurudi nyumba naomba kufahamishwa hapo maana sisi wengine hatujasomea science so nitashukuru sana kama nitasaidiwa maana nisije kumuharibu mke wangu bure
Wakuu,
Swali: Je, nifanye nini ili nizae mtoto wa KIKE:
. Endapo itatokea mbegu zaidi ya moja zikalirutubisha, basi yai hilo litagawika sehemu zenye idadi sawa na mbegu zilizorutubisha ili kutengeneza mapacha wasiofanana kwa sura na pengine jinsia!
mkuu angalia vizuri mkate wako(kitabu)
Sawa dada Haika mi siku zote nilikuwa najua wewe utakuwa baba.....nimekupata hapo kwa nini kwa walevi haifai sasa?
Ok, tukutane kesho same venue (JF).