Tarehe kumi mwezi wa kumi; Sikukuu ya Moi dei. Wakenya tujikumbushe kidogo

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,344
Leo ndio sikukuu ya Moi Dei, na ingawa Rais mstaafu Daniel Toroitich Arap Moi hakuacha tupumue kwa miaka ishirini na nne kuna mengi ya kukumbukwa, kwenye enzi hizo za utawala wake. Kwa mfano.
DLwMzCrXcAA0ZpL.jpg
maziwa-ya-nyayo.jpg
Maziwa ya Nyayo. Ambayo wanafunzi wote nchini walipewa, bure bila malipo.
gi.php
Jogoo wa KANU.
president-daniel-moi.jpg
Bila kusahau rungu ya musee.
 
Tunapaswa kusherehekea kazi yake ya ushindi. Hawa ndio watu wanaojulikana kwa kazi yao kwa ajili ya ubinadamu.
Nilishangaa jana kuona wakenya wakimkumbuka Moi na siku ya Moi dei wakati siku yenyewe ilifutwa kwenye kalenda na sio sikukuu rasmi tena. Ni kweli lakini, atakumbukwa pia kwa mazuri aliyoyafanya.
 
Back
Top Bottom