ayaaaaa....wee.....unapokuwa unasema kuhusu tarehe.....naomba uzingatie gender......sio wote tunafurahia huo msemo......umeniuzi....
kwani zile mambo zenu huzingatia tarehe au siku???
ayaaaaa....wee.....unapokuwa unasema kuhusu tarehe.....naomba uzingatie gender......sio wote tunafurahia huo msemo......umeniuzi....
jamani jamani.......tunaweza kuacha hii adisi.....
Bado siku 4 waleti ituneee
Nitajiajiri mwezi wa 4 mwaka 2013We hujajiajiri?
ayaaaaa....wee.....unapokuwa unasema kuhusu tarehe.....naomba uzingatie gender......sio wote tunafurahia huo msemo......umeniuzi....
..Napita tu..jamani jamani.......tunaweza kuacha hii adisi.....
Nitajiajiri mwezi wa 4 mwaka 2013
Ni kweli mkuu!Good move!
Kuajiriwa jau...
..Napita tu..
..karibuuuunaomba kuunga tela!!!!!