Tarehe hii ni ya muhimu kwako....02.10.2011

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
tigo
nimeongeza buku,wakanipa dakika mbili na secunde 30 kupiga mitandao mengine,nimepiga kwenda voda wamenikata na leo sio mara ya kwanza.jamani tukifungia macho wizi kama huu(ambao sio mdogo ukiangalia tigo wana wateja wangapi ni pesa nyingi sana zinaibiwa hapa),sikumoja tuwe vichaa wote tunachagua sema tarehe 02.10.2011 wote tunaacha kutumia line za tigo tuwape hasara kwa siku mbili nchi mzima.tuwaonyeshe kama hawawezi kutoa huduma nzuri tuhame..


Usitumie line ya tigo ifikapo tarehe 02.10.2011

tunaweza wateja wote wa tigo..hadi wajirekebishe.
 
Serious guy lets boyot tigo and other company ambazo zinatoa huduma mbovu....umoja umoja...lets make diference..tuache ubinafsi...ni haki yeu kupata huduma nzuri..sio kwa ubaya ni kutetea haki zetu....mapinduzi yanaanzia hapa...leo tunaanza na tigo kesho serikali ituletee umeme wa uwakika..tukiamua tunaweza
 
Baba Juice kasema lililo jema. Tigo leo nusu siku walikuwa off line. Kwanini tuteseke? Tigo ituombe radhi wateja zao

Asante Bujibuji watu kama nyie ndio watetezi wa wanyonge na mnaona matatito ya watu kama sisi wanachi
 
kwakweli hasa leo tigo wamehattarisha sana ndoa yangu yaani love akahisi nafanya kamchezo huko nliko,mana siku nzima kiimya
 
Wahuni tu hawa! Wanavyotangaza ni kinyume na wanavyofanya! Usaanii saniii, nahisi kuna mtu mwenye akili ameondoka pale ndo maana wamepoteza muelekeo! Inshort term wanaweza kujiona wajanja ila in long term watajuta! Ukisema salio mara mbili nilihisi ukiweka 2000/= unapata 4,00.00 kumbe upupu?? Hata markting strategies haziko hivo bwana sema kitu ambacho kipo na kinaishi!shenzi taip!
 
Mimi naona haya makampuni yenye hii herufi inayo anza naT yana matajizo,tuwashauri wafute herufi hiyo.
 
Wazo lako ni zuri, ila inatakiwa kampeni ya nguvu kuhamasishana..
 
Waswahili Tunapenda Bure, kumbe kuna watu wanatamani Bongo Ingekuwa Kama Mombasa Kila Kitu Walipiwa Tu! mimi nimewaomba tigo wasinipe bonus yoyote na bado natwanga kotekote.
 
Baba Juice kasema lililo jema. Tigo leo nusu siku walikuwa off line. Kwanini tuteseke? Tigo ituombe radhi wateja zao

kama ni radhi, usisubiri kuombwa, wewe kuwa radhi au chukua hatua kivyako, kama wapo watakaochukua hatua bila kushawishiwa itakuwa na maana itatokea siku ****** atawakuta watu wameshajazana getini kila mmoja kaenda kwa dhamira yake!
 
Yaani kweli kabisa, wakati umefika wa Watanzania kuhakikisha tunapata huduma bora. Haiwezekani hizi kampuni zinazotoa huduma mbovu ziendelee bila ya kujali wateja wao.
 
Unajua Sudi black skin tuna matatizo makubwa. Mbona watu hu goma ili waongezewe mishahara. Mbona wenzetu hugoma kwa kupanda gharama ya mkate? Sisi tumelogwa na nani? Tume nyimwa Mafuta ya Magari juzijuzi hatukuchukua hatua yeyote, bali Wachache walio ihodhi serikali wali mudu kutudhalilisha kwa sababu hatukua na option. Tuwe pamoja kwa jambo la hekima na lenye manufaa kwetu. Mie nipo pamoja na mdau sijui nyie?
 
Back
Top Bottom