Tanzania ipo huru tangu izaliwe kutoka Tanganyika na Zanji. Hapo tunasheherekea uhuru wa Tanganyika.
TanganyikaWanaJF ivi toka mwaka 1964 baada ya kuanzishwa kwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,kila tarehe 31 ya Disemba uwa tunasherekea uhuru wa Tanganyika au Tanzania? Maana kama ni wa Tanzania,then nafikiri tumeingizwa chaka. Naomba kuwakilisha.
Tunasherikea Mwisho wa mwaka na Kesho yake tunasherekea Mwaka Mpya.WanaJF ivi toka mwaka 1964 baada ya kuanzishwa kwa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,kila tarehe 31 ya Disemba uwa tunasherekea uhuru wa Tanganyika au Tanzania? Maana kama ni wa Tanzania,then nafikiri tumeingizwa chaka. Naomba kuwakilisha.
Thats right!! Ni uhuru wa Tanganyika na si Tanzania!!... Historia inapotoshwa!!!