tarehe 7 Mr. Edo ndani ya jimbo la kibamba

Lumbi9

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
8,563
11,799
Kwa wale wapenda mabadiliko siku ya tarehe 7 ya mwezi huu tutakuwa katika jimbo la kibamba kumnadi mgombea wetu wa urais bwana Edward Lowassa na mgombea ubunge jimbo hilo bwana John Mnyika, baadaye tutaelekea bunju, panga ratiba yako vizuri ili siku hiyo tuwe pamoja maeneo hayo pamoja na muasisi wa mabadiliko bwana EL.
Ahsanteni!
 
2liwambia lowassa anapendwa wakasema ni porojo 2kaletea picha wakasema ni photoshop tukawaletea sauti za watu wakisema lowassa ndo rais wao wakasema ni voiceshop tumewaletea mpaka video wakasema ni videoshop mpaka siku lubuva akimtangaza lowassa ndio mshindi cjuh watasema huyo ni lubuvashop?
 
Back
Top Bottom