Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,726
Kwenye kampeni za mkuu hapa Mtwara tuliahidiwa kuwa ushindi ukipatikana tar 25 ifikapo tar 26 barabara ya Mtwara - Newala itaanza kujengwa kwa kiwango cha lami. Naomba nikumbushe ahadi hii.
Unachekesha. Kwani aliahidi kiongozi wa dini(japo nao wamezidi unafki) au mwanasiasa?Kwenye kampeni za mkuu hapa Mtwara tuliahidiwa kuwa ushindi ukipatikana tar 25 ifikapo tar 26 barabara ya Mtwara - Newala itaanza kujengwa kwa kiwango cha lami. Naomba nikumbushe ahadi hii.
Unachekesha. Kwani aliahidi kiongozi wa dini(japo nao wamezidi unafki) au mwanasiasa?
nikumbushe nimesahau wadhifa wa huyo mkuu wa kaya
Never trust anything that comes from the mouth of a politician especially from ccmKwenye kampeni za mkuu hapa Mtwara tuliahidiwa kuwa ushindi ukipatikana tar 25 ifikapo tar 26 barabara ya Mtwara - Newala itaanza kujengwa kwa kiwango cha lami. Naomba nikumbushe ahadi hii.
Hahahaaaaa.... Nimeipenda hiiNever trust anything that comes from the mouth of a politician especially from ccm
Mpaka lini mkuu?Wanafanya upembuzi yakinifu
Mpk 2020 ngoja tusubiri mi nshaanza kuzoea na kuona kawaidaMpaka lini mkuu?