Tarehe 26.11.2017 CCM 43,Ukawa 0

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Katika taathimini yangu katika maeneo 43 ambapo kuna chaguzi ndogo/marudio kwa hakika CCM inashinda kwa kishindo kikuu na kuna kila dalili matokeo kuwa 43-0.

Ushauri wangu kwa upinzani ni bora wawaondoe wagombea wao ili wajitathimini sababu za wananchi kuwachoka
 
Haaaa haaaa haaaa.. Hii itakuwa pigo kubwa japo kutokea hili ni probability ndogo sana .. Angalau hata 30-13
 
Katika taathimini yangu katika maeneo 43 ambapo kuna chaguzi ndogo/marudio kwa hakika CCM inashinda kwa kishindo kikuu na kuna kila dalili matokeo kuwa 43-0.

Ushauri wangu kwa upinzani ni bora wawaondoe wagombea wao ili wajitathimini sababu za wananchi kuwachoka
Kansa iz a diziz if yo go it slowuly.... teh twh umetisha sana
 
Katika taathimini yangu katika maeneo 43 ambapo kuna chaguzi ndogo/marudio kwa hakika CCM inashinda kwa kishindo kikuu na kuna kila dalili matokeo kuwa 43-0.

Ushauri wangu kwa upinzani ni bora wawaondoe wagombea wao ili wajitathimini sababu za wananchi kuwachoka
Kivipi mkuu mpaka useme wamewachoka, mie nitawapa kwani nishachoka na sisiem, uongo mwingiii
 
Arusha ukiwa na nchemba mliondoka usiku kwa kipigo cha 4 bila. Fikeni dau walau kwa Lema mueleweke na biashara yenu ya manunuzi.
 
Katika taathimini yangu katika maeneo 43 ambapo kuna chaguzi ndogo/marudio kwa hakika CCM inashinda kwa kishindo kikuu na kuna kila dalili matokeo kuwa 43-0.

Ushauri wangu kwa upinzani ni bora wawaondoe wagombea wao ili wajitathimini sababu za wananchi kuwachoka
Acha bangi dogo.
 
Nani kakuambai acha bangi dogo.
 
Katika taathimini yangu katika maeneo 43 ambapo kuna chaguzi ndogo/marudio kwa hakika CCM inashinda kwa kishindo kikuu na kuna kila dalili matokeo kuwa 43-0.

Ushauri wangu kwa upinzani ni bora wawaondoe wagombea wao ili wajitathimini sababu za wananchi kuwachoka
Wakudadavuwa, hii inakuhusu sana. Jipime.
 
Ikiwa hivyo, utapandishwa cheo kutoka Naibu Waziri kuwa Waziri kamili. Naibu, Serikali ambayo wewe ni sehemu yake ilipiga marufuku ramli chonganishi kama uzifanyazo hapa. Shauri yako!
 
Dogo,mimi ni mstaafu si Naibu waziri. Shughulisha akili yako ufuatilie kampeni huko site
 
Msingekuwa mnapanga kutumia goli la mkono ilikuwa ni CDM 43 0 CCM lkn kwa kuwa mna magoli mengi ya mkono mtashinda lkn mjue hata km mtashinda kibabe wananchi washawachoka!!
 
Back
Top Bottom