Tarehe 25 May 2023 moto ulilipuka makao makuu ya wizara ya Ulinzi wa Russia Russia ikatoa statement zinazogongana

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Tarehe 25 May 2023 moto ulilipuka makao makuu ya wizara ya Ulinzi wa Russia Russia ikatoa statement zinazogongana

Watu waliona zimamoto kibao zikitoka kila kona zikienda kuzima moto wizara ya Ulinzi

Shirika la habari la Urusi.likasema kulikuwa na moto

Zimamoto wakasema kulikuwa na moto mdogo ukadhibitiwa mapema uliolipuka sehemu ya mapokezi ukazimwa na wafanyakazi shupavu wa kikosi zimamoto

Msemaji wa Serikali akasema hakukuwa na moto wowote lilikuwa tu zoezi la kawaida la kujiweka tayari just in case kuna moto!!!

Cha ajabu ulinzi uliowekwa kwa sasa wizara ya ulinzi ya Russia kwa sasa sio wa kawaida ni mkali kuliko.miaka yote

Source ::vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa
 
Kwa hiyo...??Point ni nini sasa hapo...moto kuwaka, habari gongana,kuimarishwa kwa ulinzi kusiko kawaida au nini hasa???
 
Kawaida DJ wa Muziki kwenye sherehe huwa anaanza kwa kujaribu Mic kama inafanya kazi utamsikia anaanza

"HELLO,HELLO ,HELLO ,HELLO TUNAJARI,TUNAJARIBU
DJ Akiona Mic imekaa sawa anawasha mziki full wa nguvu.Anapojaribu Mic kinachotakiwa ni tu ku stay tuned .Muziki wa uhakika utakuja tu

UKraine mwezi February mwaka huu ilirusha Drones Mbili kwenye makao makuu ofisi ya Putin, Jengo la Kremlin Russia wakijaribu kuona kama zina uwezo wa kutua jengo la Kremlin zikafika pamoja na kuwa Russia ilizitungua lakiji zilifika

Sasa Moto umejaribiwa ofisi za wizara ya Ulinzi ya Russia Umefika

HELLO,HELLO PUTIN ,HELLO ,HELLO RUSSIA DJ maarufu wa Muziki Zelensnkyy WA UKRAINE mnayemjua vizuri sana ANAJARIBU,ANAJARIBU ,ANAJARIBU MIC kama sauti ya muziki inaweza fika Russia
Akiona Mic imekaa sawa anawasha Mziki full wa nguvu.Russia Stay tuned
 
Tarehe 25 May 2023 moto ulilipuka makao makuu ya wizara ya Ulinzi wa Russia Russia ikatoa statement zinazogongana

Watu waliona zimamoto kibao zikitoka kila kona zikienda kuzima moto wizara ya Ulinzi

Shirika la habari la Urusi.likasema kulikuwa na moto

Zimamoto wakasema kulikuwa na moto mdogo ukadhibitiwa mapema uliolipuka sehemu ya mapokezi ukazimwa na wafanyakazi shupavu wa kikosi zimamoto

Msemaji wa Serikali akasema hakukuwa na moto wowote lilikuwa tu zoezi la kawaida la kujiweka tayari just in case kuna moto!!!

Cha ajabu ulinzi uliowekwa kwa sasa wizara ya ulinzi ya Russia kwa sasa sio wa kawaida ni mkali kuliko.miaka yote

Source ::vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa
SO
 
Back
Top Bottom