TAREHE 25 DECEMBA INAKUJA WANYAMA WANAJADILIANA KUEPUKA KIFO

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,079
TAREHE 25 DECEMBA.jpg


Wanyama wangekua wanaongea kipindi kama hiki wangekuwa wanashauliana Wafanyaje kujiepusha na kuchinjwa
 
ni kama Chadema inavojadili wakati wa uchaguzi juu ya hofu ya kuibiwa kura na CCM..!! samahani ndugu zangu wa Lumumba ni mfano tu
 
Hiyo kamati yao ingekaa wapi, mana watu hawapendagi ujinga(joke)......
 
Iyo Xmas isiwe tabu kuwapa taharuki viumbe wengne kwa mboga za majani hamzion?
 
Back
Top Bottom