Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,624
- 218,046
Binafsi namtakia kila la heri na namuomba Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu .
Huyu mtu mambo aliyoyatenda kwenye ule ulioitwa uchaguzi mkuu wa octoba 2020 nchini Tanzania yatakumbukwa Daima
Hadi vichaa wanakushangaa !!Huyuhuyu alieambulia kiti 1 cha ubunge na mgombea wake kupata chini ya 20% ndio bora?
Hivi alifikiri kampeni ni kwa mgombea kupanda mwendo kasi na kwenda kununua nyanya kariakoo?
CCM haijawahi kumiliki mwezi wowoteAmezaliwa mwezi wa CCM.
Happy birthday comrade!
asante kwa niabaHappy Birthday to you kamanda
Wewe ndiye tunakushangaa au hawara yakoHadi vichaa wanakushangaa !!
Mara papa tutarudia ujaguzi
AaamenView attachment 1706798
Binafsi namtakia kila la heri na namuomba Mwenyezi Mungu ampe Maisha marefu .
Huyu mtu mambo aliyoyatenda kwenye ule ulioitwa uchaguzi mkuu wa octoba 2020 nchini Tanzania yatakumbukwa Daima
pole