Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

Ok....nimeamua kuwapotezea>>Asprin, Kaizer, Roya Roy, The finest kwa muda....
Nisamehe Finest.....hello and Goodbye for now!
Concentration inapungua....ngoja nitekeleze majukumu kwanza....

Inapungua kimawazo ila kimwili najua upo
 
10/10/10: The 'Perfect' Day To Get Married

It should be the perfect day to get married, because it is the 10th of October 2010 - or 10 10 10.

The number 10 means "perfect" in China and superstitious couples are getting married, hoping the day proves to be auspicious.

Several register offices in the UK and China have opened on their day off to cope with the demand.
 
Hello Acid....!
Hi dude!!!

whats up my friend...

Nampongeza sana sajenti na akumbuke tu kwamba the first few years ni honeymoon, aombe iwe extended maana challenges za ndoa ni kasheshe
 
Hongera sana Sajenti....in fact mambo yakienda fresh hata huko jeshini utapanda kutoka usajenti hadi kuwa Brigedia...the bottom line ni kwamba I wish u all the best kwenye the rest of your life, as much as God will provide you.

Meanwhile, kama Kadaa ameshatembea tembea angalia utaratibu uongeze kengine ya Mungu mengi....[/QUOTE]...Mkuu hapo kwenye red ndio mchakato umeanza...nashukuru kwa ushauri!!:tonguez:
 
Hi dude!!!

whats up my friend...

Nampongeza sana sajenti na akumbuke tu kwamba the first few years ni honeymoon, aombe iwe extended maana challenges za ndoa ni kasheshe
...Nilishapitia magumu kidogo lakini mungu mkubwa jahazi likakaa sawa na safari inaendelea. nakubaliana na wewe ndoa ni tamu lakini kuna wakati huwa shubiri.
 
...Nilishapitia magumu kidogo lakini mungu mkubwa jahazi likakaa sawa na safari inaendelea. nakubaliana na wewe ndoa ni tamu lakini kuna wakati huwa shubiri.
safi mkuu.... kaza buti, ndoa ndio heshima ya mtu mzima na wala si pesa!!!
 
...Nilishapitia magumu kidogo lakini mungu mkubwa jahazi likakaa sawa na safari inaendelea. nakubaliana na wewe ndoa ni tamu lakini kuna wakati huwa shubiri.

Kuna mdaua alisema ndoa ni kukubali na kuingia mkataba wa kuishi na kero za mwenzako maisha yako yote...sometimes downs zinakua nyingi sana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom