Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

Hongera sana Sajenti....in fact mambo yakienda fresh hata huko jeshini utapanda kutoka usajenti hadi kuwa Brigedia...the bottom line ni kwamba I wish u all the best kwenye the rest of your life, as much as God will provide you.

Meanwhile, kama Kadaa ameshatembea tembea angalia utaratibu uongeze kengine ya Mungu mengi....
 
kwa style hii tutafikisha miaka yao cheusi??

avatar21903_4.gif
 
Jamani eeeeh! Kuna mtu kanionea Queenkami? Mkimwona mwambieni aniPM eti. Nna salamu zake!:A S 13::A S 13::A S 13:
 
Jamani eeeeh! Kuna mtu kanionea Queenkami? Mkimwona mwambieni aniPM eti. Nna salamu zake!:A S 13::A S 13::A S 13:

siku yangu imepata nuru baada ya kukuona brutha asprin.
siku hizi una matatizo ya macho, niko mbele yako lkn hunioni unaniulizia,ntakununulia lensi nzuri za macho usipate shida ya kuniona.hakika nitakuPM
 
Umekuwa kipofu au.....??? :confused2:
Halafu na wewe! Naona unataka nikupige BAN!

siku yangu imepata nuru baada ya kukuona brutha asprin.
siku hizi una matatizo ya macho, niko mbele yako lkn hunioni unaniulizia,ntakununulia lensi nzuri za macho usipate shida ya kuniona.hakika nitakuPM

Ewaaaaaaaa! Siku yangu sasa itaenda vizuri. Haya nijibu PM yangu basi!:llama:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom