Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

Wasiwasi wangu ni hyo kamata kamata Wasije geuza dili

Ova
Wajumbe wa nyumba kumi wameshapangwa tayari kwahiyo tar 1 madukani/magengeni watu wataviziwa vibaya mno achana na mgambo huko masokoni.

Yani faini 50,000/- zitakusanywa kwa ajiri ya kununua bombadia ya 8.
 
Duh

Ova
 
Hii Ndio mifuko Mbadala kwa matumizi yote ya kijamii ni rahis kabisa.. Epuka faini sasa
Img_5517645104.jpeg
Img_7170061708.jpeg
IMG_20190516_160802_050.jpeg
 
Back
Top Bottom