Wajumbe wa nyumba kumi wameshapangwa tayari kwahiyo tar 1 madukani/magengeni watu wataviziwa vibaya mno achana na mgambo huko masokoni.Wasiwasi wangu ni hyo kamata kamata Wasije geuza dili
Ova
DuhWajumbe wa nyumba kumi wameshapangwa tayari kwahiyo tar 1 madukani/magengeni watu wataviziwa vibaya mno achana na mgambo huko masokoni.
Yani faini 50,000/- zitakusanywa kwa ajiri ya kununua bombadia ya 8.
Condom sio plastic. Ni rubberTusisahsu kuwa na condom inatengenezwa na plastic. Kutumia nalo linaweza kuwa kosa kwa hiyo angalia usije ukakutwa nayo
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Condom sio plastic. Ni rubber
Hii Ndio mifuko Mbadala kwa matumizi yote ya kijamii ni rahis kabisa.. Epuka faini sasa View attachment 1099803View attachment 1099804View attachment 1099805
ndio maana nilisha acha kuizoeaTusisahsu kuwa na condom inatengenezwa na plastic. Kutumia nalo linaweza kuwa kosa kwa hiyo angalia usije ukakutwa nayo
Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
Naona tayari umesha Anza fursa baada ya serikali kupitisha agizo hiliHii Ndio mifuko Mbadala kwa matumizi yote ya kijamii ni rahis kabisa.. Epuka faini sasa View attachment 1099803View attachment 1099804View attachment 1099805