Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

Wakuu naombeni kujuzwa, hii hapa chini ni moja ya aina ya mifuko ilopigwa marufuku kuanzia hiyoo tarehe 1

Je nataka kujua na vile vifungashio vinavyokuja na bidhaa kutoka nje vp... mfano ni kama hiko kikoi hapo chini,

Je hivyo vifungashio pia vinakatazwa?

Na je kama vinakatazwa itakuwaje na wakati vinakuja na bidhaa kutoka nje..?
20190516_080129.jpeg
 
Write your reply...walichelewa Sana kuchukua hatua nawapongeza sana kuzuia hii Mifuko asilimia 80 ya uchafu hapa mjini ni hata ma Mifuko
 
ipo wapi hiyo mifuko.wajinga nyie! ilitakiwa ianze kutumika miezi 6 nyuma ndo mngeleta huo upuuzi wenu! kwa hili makamba anataftiwa zengwe asipojiangalia
Makamba alishasema uwaziri ni kama koti la kuazima. Yuko tayari kulirudisha kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom