Taratibu za kwenda Kenya 2021

meliki_01

New Member
Dec 6, 2021
2
1
Naomba msaada, mm nipo Tanzania nataka kwenda KENYA kwenye harakati za kusaka pesa kuangalia Kama naweza kutoboa. Sasa naomba kujua mwongozo/taratibu za kufata ili kwenda kuishi kule
 
Naomba msaada, mm nipo Tanzania nataka kwenda KENYA kwenye harakati za kusaka pesa kuangalia Kama naweza kutoboa. Sasa naomba kujua mwongozo/taratibu za kufata ili kwenda kuishi kule
Mjomba usithubutu kama bado unasitasita. Kenya sio kama unavyopaskia, uku watu makauzu, hawaelewi na ni wanyama kiasilia.
Unahitaji passport, kadi ya kuthibitisha umepimaa covid. Ukija jipange kutafuta vibali vya kufanya kazi Kenya.
Kama ningekuwa n nafasi ya kukushauri, bro kaza but tu dar n utatoboa. Uku ukija n milioni utahonga yote n ushtuke mambo bado kabisaaaaaaaaaaa, uku kila kitu ni pesa
 
If you intend to go to Kenya to hustle you should never ever use the phrase "naomba Msaada" just to be courteous unless you're actually begging. courtesy is seen as weakeness in Kenya especially in Nairobi

tafadhali na ahsante are acceptable
 
Karibu kama unajifahamu kuwa wewe mpambanaji usie na uzembe au wivu wivu basi Kenya utafaulu pakubwa, waulize ndugu zako haswa waliotokea kilimanjaro akina Mangi wanavyotusua Kenya, na mwezi huu wa Desemba wengi huondoka na kungozana kwenda kwao huko.
 
Nyumban kutamu bwana Acha Tu na
Hiv mbege a.k.a mratina upooo
Nairobi hatukai
 
Back
Top Bottom