Naomba kujuzwa taratibu za kutoa gari Zambia na kuisajili Tanzania

mnyalukoloh

Member
Jun 8, 2015
74
28
Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
 
Back
Top Bottom