taratibu za kufuata wakati wa kununua ardhi/kiwanja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

taratibu za kufuata wakati wa kununua ardhi/kiwanja.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by beyond ur limit, May 27, 2013.

 1. b

  beyond ur limit Member

  #1
  May 27, 2013
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  naomba kujua taratibu za kisheri mtu unpotaka kununua ardhi au kiwanja ambacho hakijapimwa .Ni mambo gani ya kuzingiti ili tatizo linapotokea usipoteze haki zako?
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  May 27, 2013
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,111
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Kama kiwanja kiko katika eneo la Mji/Jiji/Manispaa/Halmashauri, nk nenda katika mamlaka husika ili upate master plan ya eneo husika kwa kuwa unaweza kuuziwa eneo lililotengwa kwa ajili ya shule/wazi/hospitali/squater, nk. Ukishajua ndio itakuwa mahali pazuri pa kuanzia!
   
 3. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2013
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 135
  kama ni kijijini unatakiwa kwenda ktk ofisi ya serikali ya kijiji unalipia gharama kwa ajili ya kupata hati ya kimila(customary right of occupance),unatakiwa kuwa na shahidi na pia muandikishane na kutia saini ya makubaliano ya kuuziana kiwanja.....kama ni mjini process ni hizo tofauti ni kwamba mjini unapewa granted right of occupance.Zingatia ushauri wa Buchanan NB: mashahidi ni wa muhimu sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. t

  tshaka Member

  #4
  May 30, 2013
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je kama ni kiwanja cha urithi kwa maana umepewa na wazazi wako kabla ya kufariki na hamkuandikishiana kokote ,je process zake za kutaka kuziandikisha zinakuaje?
   
 5. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2013
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 135
  urithi unajulikana mkuu kwa sababu unapewa wakiwepo mashahidi au shahidi,cha msingi wakati unakiuza kiwanja cha namna hiyo hakikisha hakina mgogoro wa aina yeyote baina yenu wana ndugu kuhusiana na hicho kiwanja,ikitokea umeshakiuza ndo mgogoro ukatokea utatakiwa kutoa ushahidi unaojitosheleza kuthibitisha urithi wako hivyo basi shahidi aliyekuwepo wakati unakabidhiwa urithi atakusaidia,cha msingi tafuta customary right of occupance au umiliki wa kimila ktk baraza la ardhi kijijini kwako ili uishi kwa amani.
   
 6. d

  dav22 JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2013
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  da safi sana hii elimu nzuri...
   
Loading...