Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

yeah jamani mwageni hapa mtujuze... ninampango kabla ya mwaka kuisha huu niwe walau nina tu AK47 tuwili na vi granade nusu kiroba... nikikosa saaaaan kama bei itasumbua bac walau ROCKET RANGER itafaaaa.... naaamini bei haitakuwa ghali

dah....hapa umeamua kweli.....kuna jirani yangu ana kifaru anauza....vipi utafika bei?
 
dah....hapa umeamua kweli.....kuna jirani yangu ana kifaru anauza....vipi utafika bei?

hahaha preta ningenunua hilo tank.. sema c unajua barabarazetu viwango duni.. 10% wanazokula wakubwa zinatumiza... sasa nikinunua kifaru itakuwa issue na majirani. halafu waaazimaji watakuwa wengi
 
braza i'm curious to know? hivi katika ujana wako umeshawai kuishi somalia? sierra leone,afghanstan e.t.c of the like, maana nasikia uko mtoto akizaliwa tu, mama akimnunulia nepi tu,ananunua pamoja na karevorver chako anakuwekea pembeni ya nepi.
 
Habari zenu wanaJF!

Naomba kuuliza je ni taratibu gani mtu binafsi anatakiwa kuzifuata ili kuweza kununua na kumiliki silaha kama pistol kihalali hapa Tanzania?

Bei zake zikoje? Na je kuna masharti yoyote unayotakiwa kuyatimiza?

Nataka nipate silaha kwa ajiri ya ulinzi wangu binafsi nikiwa barabarani na nyumbani.

kuhusu taratibu za kumiliki silaa jituoriginal amekupa jibu sahiii kabisa, kuhusu aina za silaa nenda katika branch yoyote ya duka la tanganyika rifles lililopo karibu nawe mzee ewatakupa maelezo juu ya aina za silaa na bei za mambo mengine extra.
 
Asante mkuu, umenipa hint ya muhimu sana!!

Du hivyo vikao vya ulinzi na usalama kuanzia kata hadi mkoa si ndio kushawishi rushwa huko? In average huwa inachukua muda gani toka hatua ya kwanza hadi unapopata kibali cha kwenda kununua silaha?

Nikipata kujua na range za bei kwa silaha mbali mbali nitashukuru sana wadau!!

guns_vector_pack.jpg

Chagua moja tukupe bei
 
braza i'm curious to know? hivi katika ujana wako umeshawai kuishi somalia? sierra leone,afghanstan e.t.c of the like, maana nasikia uko mtoto akizaliwa tu, mama akimnunulia nepi tu,ananunua pamoja na karevorver chako anakuwekea pembeni ya nepi.

hamna bro sijawahi kuishi... ila niliwahi ku apply katika chuo cha kikuu kimjoka katika vitu walivyoniambie niende nayo wakasema niende na AK 47 pamoja na M16.... nimekosaa saaana bac ka auto revolver na bullet proof. bila hivyo nitakuwa nimejidikualifai.. sasa kutokana na sheria za nchi yetu nilishindwa kutimiza vigezo nilijaroibu kuwaambia kama nitaweza kupata hukohuko wakasema kuwa kule.... shops are fultime closed na hakuna uhakika wa kupata zinazofanya mpya.. na wao wanataka iwe na seal kabisa
 
dah....hapa umeamua kweli.....kuna jirani yangu ana kifaru anauza....vipi utafika bei?

Preta hicho kifaru ni cha mwaka gani na kinatoka nchi gani? Pia nifahamishe ni cha HP ngapi! Kama ni cha Merkava nakuja kukichukua leo.
 
Naona nyie ni Tz Alshabab chapter!!!!! Maana mikwara ya VITENDEA KAZI VINAVYOTAKIWA inaweza kumfanya mtu akimbie Jiji la Dar (assuming wenye mikakati ya RPG & TANKS wako hapa Dar).....
 
hahaha preta ningenunua hilo tank.. sema c unajua barabarazetu viwango duni.. 10% wanazokula wakubwa zinatumiza... sasa nikinunua kifaru itakuwa issue na majirani. halafu waaazimaji watakuwa wengi
Mkuu kwenye red hapo walishavuka hiyo % siku hizi wanapiga 40%
 
Mkuu mie si mjuzi sana wa aina za silaha, ila ninachohitaji ni silaha ya kujilinda ambayo naweza kummaliza adui akiwa angalau umbali wa mita 100.
 
Habari GT wa JF!
Nimefuatwa na ndugu yangu anataka aimiliki Bunduki ndogo(Pistol). Nami nimeshindwa kumpa majibu ya kumridhisha. Nilimwambia aende kwa OCD eneo lake.

Sasa mizengwe ya nji hii nikaona nianzie humu kumkusanyia majibu ili aipate na aimiliki kihalali. Jamaa ni mpole tena mkarimu ila anaishi uswahilini. Nae ndie anaonekana anazo anazo. Japo nmesikia wengi walipo anza kuzimiliki matatizo mengi yaliwafika!

Tunamshauri aanzie wapi? Je akikutana na vipangamizi alalamike wapi?

Nawakilisha!
 
Kazi yake kubwa sana....aanze wilayani kwa ocd wake atapewa form ajkze zianze mkachato mrefu sana tangu serikali mtaa,mtendaji kata,tarafa ije wilayani....mkoani then atapataiwa kibali....hapo aende dukani akachague aina aitakayo!!
 
mbona unantisha hivyo?
Au ndio njia zenyewe za kuntengezea mazingira ya kuvaa shati ya mikono mirefu?
Huo mzunguko nahisi lazima watamuomba kitu chochote!
Haya ngoja niendelee kupokea ushauri wenu!
 
shida yote ya nn atafute wasomali wamuuzie AK-47 kwa bei poa , wazeya wa kazi wakikuvamia unawanyeshea tu.
 
staki nimiliki pistol kwani akili zangu zinavyonituma nitaingia tamaa ya kujichukulia sheria mkononi nawezawatia shaba mafisadi kimya kimya mkasikia mmoja baada ya mwengine anaondoka. God forbid!!
 
pistol!!! Atawamaliza wenzie, tena umesema ni mpole na siku zote hao watu huwa hawasomeki.
 
shida yote ya nn atafute wasomali wamuuzie AK-47 kwa bei poa , wazeya wa kazi wakikuvamia unawanyeshea tu.
Huyu Jamaa amekua raia mwema anahitaji afuate taratibu za nchi. Mnamshauri hivyo mbona mnamuacha njia mpanda mwenzenu!Huwezi jua hadi amewazia jambo hilo ana jambo moyoni mwake. Kwani ni vigumu kuimiliki ukifuata hizo taratibu za nchi?
 
Wasikutishe ndugu yangu,Kila kitu kinawezekana na kila raia ana haki ya kumiliki silaha akiwa na akili timamu kwa kufuata taratibu na sheria zilizowekwa.Kwanza nenda serikali ya Mtaa mahali unapoishi,Kisha kwa OCD wa jirani nawe au la katika ghala la silaha ulikonunua hao wanaweza kukurahisishia maisha zaidi. Kule kwa OCD utapewa fomu ya kuomba kibali cha kumiliki silaha ambayo ukijaza na kupeleka serikali ya mtaa,Kamati ya Ulinzi na usalama itaipitia na kumshauri OCD ambaye ataipeleka kwa PRC au RSO nako kikao kitakaa kuidhinisha pamoja na waombaji wengine.

MUHIMU
Ili umiliki silaha unatakiwa kuwa na akili timamu

Huna rekodi ya uhalifu

Uwe raia nk
 
Back
Top Bottom