Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

Kwanza ukapimwe akili muhimbili, record ya uwendawazimu na uthibitisho kuwa huna wagonvi usije ukaenda kulipiza kisasi.

Sasa wewe ndugu, kuingia na silaha nchini sio shida, utatokaje nayo huko uliko? Ukiweza kutoka nayo tu, kuingia itawezekana.
Kama upo DRC au Burundi si unakatiza tu kwa mguubunaingia nayo halafu jamaa wakikukamata jina lako linabadilika kuwa jambazi.
 
Mjomba umeandika hii thread yako kwa upole lakini kwa undani I can tell kuwa una hasira kali sana moyoni, vipi kuna aliye kuudhi? Waweza kumiliki ila nenda kituo cha polisi utapewa utaratibu kamili kumbuka ni kwa ajili ya kujilinda and if you use it offensively itakula kwako na kama una visa na mtu bora hata usiinunue.
 
kutoka nayo sio issue coz kuna taratibu na nazifahamu,asante kwa mchango wako
 
Mjomba umeandika hii thread yako kwa upole lakini kwa undani I can tell kuwa una hasira kali sana moyoni, vipi kuna aliye kuudhi? Waweza kumiliki ila nenda kituo cha polisi utapewa utaratibu kamili kumbuka ni kwa ajili ya kujilinda and if you use it offensively itakula kwako na kama una visa na mtu bora hata usiinunue.

kaka wala sina sina ugomvi na mtu,napenda nijilinde tu,si unasikia hata ukiharibikiwa na gari salender bridge unakatwa mapanga,hamna wa kutulinda dawa ni kujilinda mwenyewe,asante kwa mchango wako.
 
Habari zenu wakuu.Nahitaji kujua ni jinsi ipi au mambo gani natakiwa kuwa nayo ili niweze kumiliki silaha aina ya bastola kwa ajili ya ulinzi wangu?Naomba nifahamisheni kwani nahitaji sana kwa kujilinda binafsi hasa nikiwa safarini.

Natanguliza shukrani za dhati kwenu wana jamii.
 
pls tembelea pale upanga jeshini utapata maelezo yote ya kina na kununua ni hapo hapo wanauza mkuu
 
Habari wana JF..

Mi ni mzalendo wa Tanzania.. Ni taratibu gani natakiwa nifuate ili niweze kumiliki bastola?? Ni kwa self-defence.. Hasa ktk shughuli ninayotaka kuanza ya kupeleleza habari za huyu fisadi kaburu, nihakikishe mwaka 2015 harud mjengon, na nch ye2 anaikimbia..
 
ukijua hizo taratibu kabla ya kwenda kusajiliwa hiyo silaha mimi nipo huku ng'ambo nakuhakikishia
nikija huko ntakuletea. Nikiwa hapo airport ntaikabidhi kwa wana usalama. Utaenda waonesha hizo documents zako na watakukabidhi. Kabla ya yote unaenda kwa watendaji wako wa karibu i think ni mtaani kwako. Watakupa barua ili uende mbele zaidi ukiwa na hiyo barua yako. Ila ujitayarishe kuulizwa maswali kama haya:
-kwanini unahitaji silaha?
-aina ya salaha na kwa shughuli gani?
-upeo wa akili yako isije ukawa umechanganyiiwa au una tataizo la akili.
-silaha ndogo ina long process kuliko kubwa.
-silaha inayopiga kwa mkupua risasi nyingi huruhusiwi raia(rapid).
-...........
Watakusaidia wajuzi wengine nimekupe kumbu kumbu zangu nlipokua huko Bongo.
 
nikija huko ntakuletea.

Hivi process ya kusafiri na silaha kutoka huko ni rahisi kihivyo? au ni bora autafute huku?,
Anyway process ni kutuma maombi na kama anahitaji kwa shughuli zake na kazi zake atapewa kibali bila shida
 
ukijua hizo taratibu kabla ya kwenda kusajiliwa hiyo silaha mimi nipo huku ng'ambo nakuhakikishia
nikija huko ntakuletea. Nikiwa hapo airport ntaikabidhi kwa wana usalama. Utaenda waonesha hizo documents zako na watakukabidhi. Kabla ya yote unaenda kwa watendaji wako wa karibu i think ni mtaani kwako. Watakupa barua ili uende mbele zaidi ukiwa na hiyo barua yako. Ila ujitayarishe kuulizwa maswali kama haya:
-kwanini unahitaji silaha?
-aina ya salaha na kwa shughuli gani?
-upeo wa akili yako isije ukawa umechanganyiiwa au una tataizo la akili.
-silaha ndogo ina long process kuliko kubwa.
-silaha inayopiga kwa mkupua risasi nyingi huruhusiwi raia(rapid).
-...........
Watakusaidia wajuzi wengine nimekupe kumbu kumbu zangu nlipokua huko Bongo.

thnx Ndevu, if u cn manage 2 do that i'll ae vry apreciatv.. Nitafuata hzo proces. Bt wat sort cn u come with?
 
Jamani GT ameuliza taratibu lakini kila mtu anasema taratibu si ngumu. Kama kuna mtu anajua afanye nini si amuelekeze?
Mfano: Labda kama kwenda polisi akafanye nini huko nk.
 
ukijua hizo taratibu kabla ya kwenda kusajiliwa hiyo silaha mimi nipo huku ng'ambo nakuhakikishia
nikija huko ntakuletea. Nikiwa hapo airport ntaikabidhi kwa wana usalama. Utaenda waonesha hizo documents zako na watakukabidhi. Kabla ya yote unaenda kwa watendaji wako wa karibu i think ni mtaani kwako. Watakupa barua ili uende mbele zaidi ukiwa na hiyo barua yako. Ila ujitayarishe kuulizwa maswali kama haya:
-kwanini unahitaji silaha?
-aina ya salaha na kwa shughuli gani?
-upeo wa akili yako isije ukawa umechanganyiiwa au una tataizo la akili.
-silaha ndogo ina long process kuliko kubwa.
-silaha inayopiga kwa mkupua risasi nyingi huruhusiwi raia(rapid).
-...........
Watakusaidia wajuzi wengine nimekupe kumbu kumbu zangu nlipokua huko Bongo.

Ndevu mbili bila shaka ulisema uko Canada. Vipi ni rahisi kununua Pistol(especially Glock) na kusafiri nayo kwenda bongo? Hapa USA nimejaribu ili ninunue lakini naona magumashi tuu. Kama ni rahisi basi ni PM ili tuwasiliane maana na mm nahitaji hiyo kitu.
 
From What I heard froma friend

Ukitoka na Silaha Ng'ambo unaiacha pale airport kwa Polisi

Unaacha na details zako zote

Hapo kuipata lazima iende kwa RSO na mkuu wa polisi mkoa

itaenda tena ofisi za DC na RC

It takes up to 6 months za urasimu mpaka umalize.

In short ukienda hata pale MZINGA upanga watakupa utaratibu wote cz wao wanauza silaha pale dukani kwao
 
kununua Pistol(especially Glock) ... Hapa USA nimejaribu ili ninunue lakini naona magumashi tuu.
labda kama unazitafuta kwa mateja projects, handgun USA magumashi, za wapi zitakuwa za ukweli, Uchina? Sema huna kitu.
 
Taso niliposema magumashi ninamaanisha, ni vigumu kukuzia silaha kama huna pistol permit. Na kama unataka uisafirishe nje ya nchi lazima utafute international dealer ambaye atakufanyia shughuli ya kununua. as of now nimejaribu kutafuta sijapata mkuu.

Kama unaweza kunisaidia nitashukuru. Kama kuwepo zipo tena bei rahisi sana tuu. Ila kuinunua individually ndiyo issue kaka.
 
Habari wana JF..

Mi ni mzalendo wa Tanzania.. Ni taratibu gani natakiwa nifuate ili niweze kumiliki bastola?? Ni kwa self-defence.. Hasa ktk shughuli ninayotaka kuanza ya kupeleleza habari za huyu fisadi kaburu, nihakikishe mwaka 2015 harud mjengon, na nch ye2 anaikimbia..
Kwanza kabisa usiwe na mawazo ya kumdhuru mtu. Taratibu za kufuata kwanza kabisa unatakiwa ununue hiyo silaha unayohitaji baada ya hapo utakwenda kituo cha Polisi cha wilaya unayo ishi utapewa form maalumu ambazo utajaza baada ya kukamilisha form zako utazipeleka ofisi ya serikali ya mtaa ukitoka hapo utakwenda ofisi ya mtendaji kata baada ya hapo form itapelekwa katika kikao cha usalama na maadili wilaya,mkoa ikiwa bunduki kubwa itaishia mkoani lakini bunduki itaishia kwa afisa upelelezi makao makuu [dci] baada ya hapo unakabidhiwa silaha yako
 
Back
Top Bottom